Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,347
- 26,153
Nakumbuka ile methali ya Nyoka wa ndumilakuwili huuma akivuvia... wacha tu wakatwe kidizaini flani... eenh maana tumechoka sasa.. eenh maana hakuna namna nyingine sasa
wacha waparuane kila kitu kina mwisho wake. hili jumba letu la dhahabu ccm ndo linapukutika hivyo kila mtu anajizolea chake mwisho wa yote halitakaliwa na mtu hata mmoja. litakuwa gofu soon.
Yes it is true.hata mnara wa babeli ulianguka,
ushahidi huu hapa .Twaweza sikia mjumbe wa mkutano mkuu kamzaba Kofi mwenyekiti na tukaambiwa tusiingilie hayo ni mambo yao ya ndani na kukua kwa democracy ndani ya chama.