johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,000
- 142,028
Vyovyote iwavyo sisi wazamani tunajua maadili yote yalianza kuporomoka na Nchi kuondoka kwenye msitari wake tangu alipong’atuka Mwalimu.Huo ndio ukweli, ndani ya miaka 60 hatujawahi kutoka nje ya fikra za Mwalimu Nyerere kiuhalisia...
Ngoja mashuhuda waje!Vyovyote iwavyo sisi wazamani tunajua maadili yote yalianza kuporomoka na Nchi kuondoka kwenye msitari wake tangu alipong’atuka Mwalimu !! Sisi tuliokuwepo enzi zile tukiwa na akili zetu timamu tunajua hivyo ila wengine wanao hadithiwa hali ilivyokuwa hawatanielewa kwa sababu watakuwa wanaamini uzushi ambao hawajaushuhudia !!
Mabadiliko hayategemei kizazi bali ni mfumo mpya wa utawala kwa kupata KATIBA mpya hata sasa kama unauchungu mimi na wewe tuanze harakati za katibaHuo ndio ukweli, ndani ya miaka 60 hatujawahi kutoka nje ya fikra za Mwalimu Nyerere kiuhalisia.
Wale waliokuwa wanaimba "Zidumu fikra za Mwenyekiti wa CCM," ndio hao watoto wao wanatuongoza leo.
Kiufupi CCM kwa maneno na matendo yake ni sawa na dini, ndio sababu ukiisumbua unaitwa na kubatizwa then unatulia.
Kizazi cha kuleta mabadiliko siyo hiki na labda kitakuja baada ya gharika kwa sababu uovu umekithiri na ule mwisho umekaribia.
Jumaa Kareem!
FIKRA nazo zinabadika RAIS anapobadilika anakuja na Watu wake wenye fikra tofauti Wakati wa Utawala wa NYERERE hakukuwa na Watu wenye UCHU wa PESA za SERIKALI kama wa sasa.Huo ndio ukweli, ndani ya miaka 60 hatujawahi kutoka nje ya fikra za Mwalimu Nyerere kiuhalisia.
Wale waliokuwa wanaimba "Zidumu fikra za Mwenyekiti wa CCM," ndio hao watoto wao wanatuongoza leo.
Kiufupi CCM kwa maneno na matendo yake ni sawa na dini, ndio sababu ukiisumbua unaitwa na kubatizwa then unatulia.
Kizazi cha kuleta mabadiliko siyo hiki na labda kitakuja baada ya gharika kwa sababu uovu umekithiri na ule mwisho umekaribia.
Jumaa Kareem!
Itakua hukuishi wakati wa NyerereHuo ndio ukweli, ndani ya miaka 60 hatujawahi kutoka nje ya fikra za Mwalimu Nyerere kiuhalisia.
Wale waliokuwa wanaimba "Zidumu fikra za Mwenyekiti wa CCM," ndio hao watoto wao wanatuongoza leo.
Kiufupi CCM kwa maneno na matendo yake ni sawa na dini, ndio sababu ukiisumbua unaitwa na kubatizwa then unatulia.
Kizazi cha kuleta mabadiliko siyo hiki na labda kitakuja baada ya gharika kwa sababu uovu umekithiri na ule mwisho umekaribia.
Jumaa Kareem!
Chama gani Cha kuitoa CCM!?CCM iko kwenye hatua za mwisho za umauti kwasasa iko kwenye kitanda ICU imezungukwa na Mapolisi.
Jo ni mnafiki sanaItakua hukuishi wakati wa Nyerere
Kenya Wana Katiba mpya lakini wameanza harakati za kudai Katiba mpya tena!Mabadiliko hayategemei kizazi bali ni mfumo mpya wa utawala kwa kupata KATIBA mpya hata sasa kama unauchungu mimi na wewe tuanze harakati za katiba
Kama ikiwepo Katiba Mpya ya wananchi na uchaguzi huru na wa haki ufanyike bila vyombo vya dola kuibeba CCM mbona saa nne asubuhi tu wanatoka.Chama gani Cha kuitoa CCM!?
Haya!Itakua hukuishi wakati wa Nyerere
Kabisa kabisa !!FIKRA nazo zinabadika RAIS anapobadilika anakuja na Watu wake wenye fikra tofauti Wakati wa Utawala wa NYERERE hakukuwa na Watu wenye UCHU wa PESA za SERIKALI kama wa sasa.
CCM iko mahututi lakini hakuna wa kupokea " mkoba"CCM iko kwenye hatua za mwisho za umauti kwasasa iko kwenye kitanda ICU imezungukwa na Mapolisi.
Katiba yao ipo vizuri ila marekebisho madogo ni lazima yafanyike ili kuziba loopholes zinazo tumiwa na wakora !!Kenya Wana Katiba mpya lakini wameanza harakati za kudai Katiba mpya tena!
Operesheni Uhujumu Uchumi ya Sokoine ilikuwa awamu gani?FIKRA nazo zinabadika RAIS anapobadilika anakuja na Watu wake wenye fikra tofauti Wakati wa Utawala wa NYERERE hakukuwa na Watu wenye UCHU wa PESA za SERIKALI kama wa sasa.
Chama gani kitaitoa!?Kama ikiwepo Katiba Mpya ya wananchi na uchaguzi huru na wa haki ufanyike bila vyombo vya dola kuibeba CCM mbona saa nne asubuhi tu wanatoka.
Nchi inafirisika wewe unaosema Katiba yao iko Vizuri?!!Katiba yao ipo vizuri ila marekebisho madogo ni lazima yafanyike ili kuziba loopholes zinazo tumiwa na wakora !!