CCM kushinda uchaguzi wa madiwani kwa zaidi ya asilimia 98 na wabunge kwa asilimia 100.

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,999
Kuna watu wanaongea habari za kufurahisha nafsi zao kujifariji japo uhalisia hadi sasa CCM imipita bila kupingwa huku ikiungwa mkono kwa asilimia takriban 100 katika kata takriban 20 zilizobaki.

Kwa upande wa Ubunge Dimani Mgombea wa CCM anasubiri kuapishwa.Hii ni dalili ya ushindi wa tsunami 2020.
 
Unamaanisha nini hapo kwenye red? kwani wapinzani hawajasimamisha wagombea?
 
Wapinzani waendelee kushughulikia mgogoro wa CUF na kufirisika kwa mwenyekiti wao Mbowe. Siasa zimewashinda.
 
lkn itakuwa bonge la katerero mbaya mama
Kuna watu wanaongea habari za kufurahisha nafsi zao kujifariji japo uhalisia hadi sasa CCM imipita bila kupingwa huku ikiungwa mkono kwa asilimia takriban 100 katika kata takriban 20 zilizobaki.

Kwa upande wa Ubunge Dimani Mgombea wa CCM anasubiri kuapishwa.Hii ni dalili ya ushindi wa tsunami 2020.
 
Kwani kuna mtu kakubishia ..maana ulivyo andika kana kuna mtu anakubishia hapo kijiweni.
 
Hata hiyo 2020 msiposhinda kwa %100 ntashangaa sana, make huwa hamchaguliwi bali mnapora tu ushindi.
 
Mbona hata wewe unajifurahisha? can you prove the authenticity of your words?...

Back
Top Bottom