CCM kushinda tena arusha mjini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM kushinda tena arusha mjini?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kamaka, Jul 30, 2010.

 1. Kamaka

  Kamaka JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 565
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  WAKUU,Kutokana na mapokezi makubwa aliyoyapata Dk W.Slaa Arusha Mjini kwenye ngome ya CCM unafikiri itawezekana kwa chama hicho kutetea jimbo lake??????????????.mpaka sasa Dr.Batilda ameanza cheche zake ,kwa kuwashawishi wapiga kura hususan wakina mama waweze kumpa kura ya ndio.Naomba kuwakilisha.
   
Loading...