CCM kunyakua vijiji vyote nane Iramba Mashariki

CCM kunyakua vijiji vyote nane Iramba Mashariki

Mtanyakuwa vijiji vyote nane mumekuwa mamwewe ninyi.kama mnanyakuwa kama mwewe anavyo nyakuwa vifaranga vya kuku kuna uchaguzi huru hapo?.
mkuu hakuna cha uchaguzi huru hapo, unatawala ubabe wa mwigulu, vijembe, vitisho,rushwa na hata ushirikina! Mwigulu yeye silaha yake kubwa ni unyiramba na si hoja! Ccm kwa ubaguzi wanatisha!
 
mkuu hakuna cha uchaguzi huru hapo, unatawala ubabe wa mwigulu, vijembe, vitisho,rushwa na hata ushirikina! Mwigulu yeye silaha yake kubwa ni unyiramba na si hoja! Ccm kwa ubaguzi wanatisha!

Hakuna ubaya kukubali kushindwa; kwani hao mliowasimamisha kwenye uchaguzi walikuwa wachaga na wazigua?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Juliana... PerDem unalipwa kwa PESA za SERIKALI au Zile Pesa za RUZUKU kwa CCM? Kwasababu Haufanyi kazi BURE wakati hauna kipato chochote cha kukuweka JIJINI DAR-ES-SALAAM...

Sasa; Hapo ni Nani anayefuja pesa za RUZUKU za CCM?? VIVA UFISADI!!

juli ni mzalendo halipwi kitu.
 
sio siri chadema ni wapuuzi sana tuliwaambia Iramba siojimbo la kukurupuka,wakaweka nyuzi kibao humu wakiuhadaa umma kuwa wameimaliza ccm Iramba kupitia Bananga,sisi tunaojua nguvu za ccm tukasema subirini,Upuuzi wa chadema na Uibilisi wao ni pale wanapopiga propaganda sana za kutaka umma uamini wao ndo wanakubalika kumbe uhuni tuu

Sasa wameona maji shingoni wanakuja na ujinga wao kuwa Kuna mabox yamewekewa kura kuiba kura acheni ushenzi wenu wakutaka kuleta machafuko,Iramba mmekataliwaa,na hakika hata tundu lisu anapoteza Kata subirini muone.tatizo mnapiga propaganda sana za kijinga,mnalishana ujinga humu wakati ukweli mnahali mbaya acheni huu ushenzi
 
Kuawa na vijana kama nyinyi nia AIBU NA HASARA KUBWA kwa taifa lolote....Nasikitika sana Tanzania kuwa na VIJANA kama ninyi ni sawa NA KUPIGWA LAANA....Kuna mahali hili taifa tulikosea tukapigwa LAANA ya Kuzaliwa vijana kama ninyi TANZANIA...

Demokrasia ni pamoja na kutofautiana mawazo na fikra.
 
Ni pm basi mrembo,masanduku yapo tayari na mwigulu hapatikani,usisahau kupitia kwa yule mganga alfajiri kama alivyosema
 
Magwanda yameshikwa Iramba yameanza kujihami eti Kuna kura zitaibiwa,chadema ni wahuni na wapuuzi sana
 
Iwe Magharibi au Mashariki ujumbe mmeupata; Juliana Shonza endelea kutoa habari hizi za ushindi wana Bavicha wamechanganyikwa wameanza matusi kama kawaida yao; tuachie sisi tutapawa na kuwajaza hekima

Chama
Gongo la mboto DSM
CC Ritz

Lakini mkae mkijua kuwa bao lazima mpigwe ndiyo maana mnachanganyikiwa kiasi cha kupoteana Nyeusi mnaita nyekundu.hiki ni kizunguzungu.
 
Last edited by a moderator:
Ukiona mwanamke anamsifia Mwigulu Nchemba ujue kuna jambo!!
 
sio siri chadema ni wapuuzi sana tuliwaambia Iramba siojimbo la kukurupuka,wakaweka nyuzi kibao humu wakiuhadaa umma kuwa wameimaliza ccm Iramba kupitia Bananga,sisi tunaojua nguvu za ccm tukasema subirini,Upuuzi wa chadema na Uibilisi wao ni pale wanapopiga propaganda sana za kutaka umma uamini wao ndo wanakubalika kumbe uhuni tuu

Sasa wameona maji shingoni wanakuja na ujinga wao kuwa Kuna mabox yamewekewa kura kuiba kura acheni ushenzi wenu wakutaka kuleta machafuko,Iramba mmekataliwaa,na hakika hata tundu lisu anapoteza Kata subirini muone.tatizo mnapiga propaganda sana za kijinga,mnalishana ujinga humu wakati ukweli mnahali mbaya acheni huu ushenzi

Ni wapuuzi kichwani mwako.Kwa wenzako ni usalama wao.
 
Hahaaa mtasema yoote wafuasi wa kibwetele matusi ni jadi yenu maana yanawasaidia kuficha ujinga wenu.
Take it from me tukutane tena hapa hapa kesho maana tutakuwa tushajua bingwa nani na msindikizaji ni nani.
 
Mgogoro wa wachimbaji wadogowadogo wa Mgongo na Nkonkilangi utawaumiza.
 
Ni wakati wa ccm kupiga kazi na kuachana na mabwenyenye wapiga domo aka wenye chama cha kindugu.
 
Kwa mfano kama haijawa hivyo unavyosema , itakuwaje ? Hebu ahidi kitu basi ili tujue tunafanyaje !
 
Hahaaa mtasema yoote wafuasi wa kibwetele matusi ni jadi yenu maana yanawasaidia kuficha ujinga wenu.
Take it from me tukutane tena hapa hapa kesho maana tutakuwa tushajua bingwa nani na msindikizaji ni nani.

THE OVERCONFIDENCE PHENOMENON:

"No problem in judgment and decision making is more prevalent and more potentially catastrophic than overconfidence". Plous (1993). "People are overconfident. Psychologists have determined that overconfidence causes people to overestimate their knowledge, underestimate risks, and exaggerate their ability to control events...." Nofsinger (2001)

Wishful thinking effects, in which people overestimate the likelihood of an event because of its desirability are relatively rare. This may be in part because people engage in more defensive pessimism in advance of important outcomes, in an attempt to reduce the disappointment that follows overly optimistic predictions.

The overconfidence effect is a well-established bias in which someone's subjective confidence in their judgments is reliably greater than their objective accuracy, especially when confidence is relatively high.[1] For example, in some quizzes, people rate their answers as "99% certain" but are wrong 40% of the time. It has been proposed that a metacognitive trait mediates the accuracy of confidence judgments,[2] but this trait's relationship to variations in cognitive ability and personality remains uncertain.[1] Overconfidence is one example of a miscalibration of subjective probabilities.

Education: Over confidence phenomenon - Social Psychology
 
tulikua tuna sema kidumu chama chama pinduzi .....kidumu ,nakitaendelea kudumu, ndani ya vyama vingi ....
wengine wanasema kidumu chama chamapinduzi ....kidumu chama dume....
wengine wanasema kidumu chama chamapinduzi ...kidumu chama tawala
wengine wanasema kidumu chama chamapinduz..... (suione donge malizia wewe unavyo weza)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom