huyo mwigulu anaweweseka na kashfa kibao yeye,za kutengeneza cd feki yeye,za wizi wa masanduku ya kura yeye,watu wa iramba mnaaibisha jimbo lenu,mtu kama huyo hata hastahili kukaa kwenye jukwaa,fungukeni watu wa iramba,maendeleo hayaji kupitia ccm,ndo mana baada ya uchaguz hawarudi tena,mana wanajua wameshawekeza,ni sawa na mikoa ya dodoma na singda,piga chini ccm +ufisadi ili tuanze kuijenga tanzania na uchumi mpya,hakika tutaifishe mali za mafisadi na warudishe pesa walizoficha nch za ulaya,hvyo tunawaomba wana iramba msihadaike mnayo danganywa na mwigulu,yeye lengo lake ni kuwafumba msiweze kuona na kutambua haki yenu,