CCM kuna utoto mwingi sana

😁We jamaa huogopi !! Wasi wasi umetanda tusije fuatwa na sisi kuvunjiwa milango na kutoweshwa. Mmoja alisikika akisema KATIBA NI KULA NA KUSHIBA πŸ™ŒπŸ™Œ
Pumzi ni Moja, wana familia na sisi to tuna familia.

beside hao wavunjaji milango tuna wajua Sana, so hata sisi tuna weza vunja Yao.
 
Yaani watu wenye wajibu wa kikatiba wakae na kuoteza muda kujibu uropokaji wa mtu anaweweseka kutafuta pakutokea? surely?

yaani mwenye akili apoteze muda kujibu upotoshaji ambao hauna ushahidi wala mashiko yoyote, kweli ?πŸ’
Kapotosha nini?
 
Pumzi ni Moja, wana familia na sisi to tuna familia.

beside hao wavunjaji milango tuna wajua Sana, so hata sisi tuna weza vunja Yao.
Watanzania wenzetu Bado Sanaa LABDA wenye usubutu ni wakurya wengi majority Bado Sanaa.

Kwa Sasa hata humu ndani sio salama Sana kwa Sasa maana wapo humu 24/7 maana wanajua hili jukwaa ni la watu wenye high thinking capacity makinika tusije vunjiwa milango πŸ₯Ί
 
Mwana CCM yupo radhi hata kumkana mama yake mzazi ili alinde cheo chake, siyo kwamba wanampenda Rais , la hasha wanamkemea yeyote yule atakayehatarisha maslahi yao na matumbo yao na wanaamini wamkimtetea Rais basi maslahi yao yako salama kwakuwa yeye ndo mteuzi wa Kila kitu including ubunge
 
πŸ™„πŸ˜­πŸ˜­ Hii nji imeingizwa shimo la Tewa maana iko kwa Autopilot 100%
 
Hapa tulipofikia co siri tena! Tunaitaji kina Traore au kina late Thomas Sankara ndo tutaelewana!!
 
Mwananchi anafichua ufisadi mkubwa kwa kupost hadharani genuine documents

Kiongozi mkubwa badala ya kuchukua hatua stahiki, anamlaumu aliyefichua na kudai eti β€œsio uzalendo kufichua siri za β€œserikali”

Hili la Gwajima lipo kwenye muktadha huohuo

Kuna tatizo kubwa mahali flani na samaki huoza kuanzia kichwani
 
porojo zote alizoropoka ni upotoshaji mtupu πŸ’
We ni chawa na chizi la kutupa!!!
Yaani Serious matters we unaona ni porojo kweli?
1. Ben Saanane
2. Azory Gwanda
3. Ali Kibao
4. Mdude Nyagali
5 ++ 80+ others.
Wote wamepotea au kuuawa kinyama lakn mpaka leo hatujui wako wapi.
Halafu mjinga fulani wa CCM unadai ni porojo.....!!!
Shame on you!!
 
Chuma Hicho Na Sasa Kinatema Che Che Che
Gwajiboy ni mashine ingine. CCM wajipange kujibu hoja za Askofu na si kumshambulia au kumjadili Gwajma.

Vinginevo watakuwa wanatimiza ule msemo wa kithungu: INTELLIGENT MIND DISCUSS ISSUES BUT SIMPLE MIND DISCUSS PEOPLE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…