CCM kuna kila sababu kuanza kumuandaa mrithi wa Rais John Pombe Magufuli 2020

MTEMIII

Member
Aug 25, 2017
27
54
Ni ukweli usiopingika kwamba watanzania walikuwa wanamuhitaji sana Magufuli kwa kipindi kile kwani watanzania walio weng walikuwa na imani sana kutokana na utendaji wake ambao haukuwa na shaka kwa wakati ule.

Japo walio wachache walikuwa wanamjua kwan zote walikuwa nazo ila kutokaka na sababu za wakati ule ilikuwa ni lazima Mh. Magufuli agombee kutokana na minyukano iliyokuwepo ndani ya chama.

Kwa sasa ni ukweli usiopingika kwamba Mh. Rais amefeli hili halina ubishi kuanzia ndani ya chama,serikali mpaka kwa wananchi.Amekifanya chama kiendeshwe kwa nguvu za vyombo vya dola na si kwa hoja.

Na kwa hali ilivo sasa vyombo vya dola vikikaaa kando leo ni waz CCM haiwezi kungia ulingoni.

Nchi inakoelekea kwa sasa ni kupagaranyika kwan Tanzania kiukweli imepoteza mwelekeo sio kiuchumi kisiasa wa kijamii,inawezekana amejisahau kwamba aliingia madarakani na 56%.Uhasama alioujenga miongoni mwa jamii ikiwemo dhana ya ukanda inayojikita katika miziz,Kiuchumi hali ni mbaya mtaani ila sababu yake imebaki wapiga dili mijini mpaka vijijini.

Migongano iliyoanza ya viongozi wa kiimani pale wanapoona mambo hayaendi sawa imekuwa ikitumika nguvu kubwa kuwanyamazisha bila kufikiria athaki ya nguvu hiyo.

Mwisho n vizuri sasa kuanza kufikilia mbadala wake pale itakapofika 2020 ni vizuli aanze kuandakiwa ili kuepuka sababu zilizompa yeye tiketi ya kupeperusha bendera ya CCM hili ata yeye mara kadhaa amukuwa akisisitiza kwamba akikuwa anabip akasukuzimiwa....na kweli kathibitisha viatu vya Urais sio vilikuwa vikubwa kwake.

Najua kuna watu watakuja na hoja kwa yeye n mwenyekiti wa CCM itakuwaje. Jibu ni kuwa chama sio mali ya mtu, chama ni wanachama ambao ndio wanaCCM na si mwenyekiti.
 
Na wanataka apewe 7Kabisa kuna haja ya kuwaomba wabunge wa ccm kutopitisha muswada huo maana tutakuwa tumejichimbia shimo wenyewe
 
Ni ukweli usiopingika kwamba watanzania walikuwa wanamuhitaji sana Magufuli kwa kipindi kile kwani watanzania walio weng walikuwa na imani sana kutokana na utendaji wake ambao haukuwa na shaka kwa wakati ule.Japo walio wachache walikuwa wanamjua kwan zote walikuwa nazo ila kutokaka na sababu za wakati ule ilikuwa ni lazima Mh. Magufuli agombee kutokana na minyukano iliyokuwepo ndani ya chama.

Kwa sasa ni ukweli usiopingika kwamba Mh. Rais amefeli hili halina ubishi kuanzia ndani ya chama,serikali mpaka kwa wananchi.Amekifanya chama kiendeshwe kwa nguvu za vyombo vya dola na si kwa hoja.

Na kwa hali ilivo sasa vyombo vya dola vikikaaa kando leo ni waz CCM haiwezi kungia ulingoni.
Nchi inakoelekea kwa sasa ni kupagaranyika kwan Tanzania kiukweli imepoteza mwelekeo sio kiuchumi kisiasa wa kijamii,inawezekana amejisahau kwamba aliingia madarakani na 56%.Uhasama alioujenga miongoni mwa jamii ikiwemo dhana ya ukanda inayojikita katika miziz,Kiuchumi hali ni mbaya mtaani ila sababu yake imebaki wapiga dili mijini mpaka vijijini.
Migongano iliyoanza ya viongozi wa kiimani pale wanapoona mambo hayaendi sawa imekuwa ikitumika nguvu kubwa kuwanyamazisha bila kufikiria athaki ya nguvu iyo
Mwisho n vizuri sasa kuanza kufikilia mbadala wake pale itakapofika 2020 ni vizuli aanze kuandakiwa ili kuepuka sababu zilizompa yeye tiketi ya kupeperusha bendera ya CCM hili ata yeye mara kadhaa amukuwa akisisitiza kwamba akikuwa anabip akasukuzimiwa....na kweli kathibitisha viatu vya Urais sio vilikuwa vikubwa kwake.Najua kuna watu watakuja na hoja kwa yeye n mwenyekiti wa CCM itakuwaje...jibu n kwa chama sio mali ya mtu...chama n wanachama ambao ndio wanaCCM na si mwenyekiti.
Kakojoe ulale,kwanza ningekuona mwendawazimu km ungemuunga mkono jpm huku ukiwa mwana CDM.
 
Hebu muamsheni huyu jamaa nahisi yupo ndotoni. Mzee katiba mnamlinda huyu mtu, CCM wazime taa na wasinzie hadi 2025 tutawaamsha.
 
Ni ukweli usiopingika kwamba watanzania walikuwa wanamuhitaji sana Magufuli kwa kipindi kile kwani watanzania walio weng walikuwa na imani sana kutokana na utendaji wake ambao haukuwa na shaka kwa wakati ule.

Japo walio wachache walikuwa wanamjua kwan zote walikuwa nazo ila kutokaka na sababu za wakati ule ilikuwa ni lazima Mh. Magufuli agombee kutokana na minyukano iliyokuwepo ndani ya chama.

Kwa sasa ni ukweli usiopingika kwamba Mh. Rais amefeli hili halina ubishi kuanzia ndani ya chama,serikali mpaka kwa wananchi.Amekifanya chama kiendeshwe kwa nguvu za vyombo vya dola na si kwa hoja.

Na kwa hali ilivo sasa vyombo vya dola vikikaaa kando leo ni waz CCM haiwezi kungia ulingoni.

Nchi inakoelekea kwa sasa ni kupagaranyika kwan Tanzania kiukweli imepoteza mwelekeo sio kiuchumi kisiasa wa kijamii,inawezekana amejisahau kwamba aliingia madarakani na 56%.Uhasama alioujenga miongoni mwa jamii ikiwemo dhana ya ukanda inayojikita katika miziz,Kiuchumi hali ni mbaya mtaani ila sababu yake imebaki wapiga dili mijini mpaka vijijini.

Migongano iliyoanza ya viongozi wa kiimani pale wanapoona mambo hayaendi sawa imekuwa ikitumika nguvu kubwa kuwanyamazisha bila kufikiria athaki ya nguvu hiyo.

Mwisho n vizuri sasa kuanza kufikilia mbadala wake pale itakapofika 2020 ni vizuli aanze kuandakiwa ili kuepuka sababu zilizompa yeye tiketi ya kupeperusha bendera ya CCM hili ata yeye mara kadhaa amukuwa akisisitiza kwamba akikuwa anabip akasukuzimiwa....na kweli kathibitisha viatu vya Urais sio vilikuwa vikubwa kwake.

Najua kuna watu watakuja na hoja kwa yeye n mwenyekiti wa CCM itakuwaje. Jibu ni kuwa chama sio mali ya mtu, chama ni wanachama ambao ndio wanaCCM na si mwenyekiti.

Ilikuwaje Watanzania wakamzawadia Raisi Magufuli Kata zaidi ya 40 na huyo Msaliti Tundu Lisu na chadema Kata moja tu?
 
Kwa hiyo Chadema hawana haja ya kumuandaa mgombea urais? Unafikiria upande mmoja tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom