Ahsante sana sana NDG. Mtafiti sina swali.Kwa mujibu wa utafiti wetu huo idadi kubwa ya wakazi wa jimbo hilo ni kabila la Wameru, idadi yao ni 66% Wamasai 15% asilimia iliyobaki ni mchanganyiko wa makabili mbalimbali yaliyohamia kutoka maeneo mbali mbali ya nchi yetu.
Utafiti huo unaonyesha kwamba Wameru wametapakaa eneo lote la Akari hadi maeneo yote yanayozunguka Mlima Meru.
Wakati Wamasai wametapakaa katika maeneo ya Nangaranyuki hadi Maroroni.
Kubwa zaidi kwa mgeni anayaona kama makabila mawili tofauti, lakini mila na desturi zao karibu zote zinafanana, na upo mwingiliano mkubwa wa vizazi baina ya koo za makabila ya mawili ya jimbo la Arumeru.
Source: Ritz wa JF
Mbona sisi wananchi wa kawaida hatuna mawazo kama yako???wewe sio mwananchi wa kawaida wewe utakuwa gamba tu.
Hapana ungekuwa neutral, ila kwa kulalia upande mmoja wowote uwe ccm au cdm, unakuwa umepoteza sifa ya kuongea kama mwananchi wa kawaida. Hakuna anayetaka kubishana hapa, hapa unaelimishwa tu, kama utaki unaacha uendelee na unayoyaamini. Hakuna mwenye muda wa kubishana kiongozi.naona ulitaka niseme upinzani utachukua jimbo kirahisi ? Kama ni hivo unahitaji dawa ya minyoo . Siwezi kubishana na mtu kama wewe ni kujipotezea muda . Hukai meru na wala hujui siasa za huku . We tulia subiria matokeo maana kura hazipigwi huku jamvini .
Kwanza naomba source ya takwimu zako ili tuweze kuzihakiki. Pili sidhani kama Lowassa ana huo ushawishi unaousema mjini Arusha labda kama ukisema Arusha unamaanisha Monduli.
Tatu kama Lowassa ndo atashika mikoba ya Magamba basi ntaamin sasa CCM imeishiwa mana ni kati ya watu mnaowatuhumu kwa Ufisadi, leo hii huyo huyo anaonekana tena anafaa??au kuna MaLowassa wangapi huko kenu??Au kila mwenye mvi mnamuita Lowassa??? Sidhan kama wa arumeru watakuwa wamepoteza kumbukumbu ya mambo aliyoyafanya Lowassa. Nakubali kuwa CCM wameisha kisiasa na kifikra ila siamin kama watafikia level ya kumshikisha Lowassa Mikoba.
Huwa hatutoki humu, JF ndio jukwaa letu so usihofu utatukuta tu sisi ni wa hapahapa.Mpira ndo umeanza tusubiri mshindi . Naomba baada ya uchaguzi turudi hapa tupeane matokeo .
Lowassa ana ushawishi mkubwa sana kwa jamii. CCM wamtumie.
Ingekuwa vyema ukaqualify your sentence, Lowassa anaushawishi mkubwa sana kwa jamii gani na kuhusu nini???Kwa jinsi ulivyoiweka unaweza shindwa kueleweka unamaana gani. Maana anaonekana anaushawishi kwa mafisadi, ccm-mafisadi na wa monduli sasa cjui unalenga jamii gan hapa.
Nakubaliana na hoja yako, HIYO ni sababu tosha Dr. Slaa kachomooa Kugombea Arumeru alijuwa hataweza kupangua makombora ya Lowasa wakati wa kampeni. POLENI CDM huu utakuwa uchaguzi mdogo wa tatu kulalia pua; kumbukeni IGUNGA, UZINI

Akipitishwa mtoto wa marehemu ataongoza mapambano lakini wengine ?????????????????