Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,580
- 20,469
Makonda kwa CCM ni nani???..Taasisi kama CCM huwa inasimama kwa watu wake kuwa pamoja na kusimama pamoja. Ni kweli kuwa makonda hakuwa mtu wa maana na alijaa kiburi, lakini kwa CCM kumchinjia baharini ni hatari kwao. CCM kuwa na nguvu haitegemei wananchi bali ushirikiano wao kwa wao na mshikamano wao. Kama hawawezi kulindana ni hatari kwao. Visasi na kutupana ndani kwa ndani kutawabomoa wenyewe.
Sijui ni nani ila ana ushawishi hadi walimpa ukuu wa wilaya na mkoa.Makonda kwa CCM ni nani???..
Una mawazo ya kijingaTaasisi kama CCM huwa inasimama kwa watu wake kuwa pamoja na kusimama pamoja. Ni kweli kuwa makonda hakuwa mtu wa maana na alijaa kiburi, lakini kwa CCM kumchinjia baharini ni hatari kwao. CCM kuwa na nguvu haitegemei wananchi bali ushirikiano wao kwa wao na mshikamano wao. Kama hawawezi kulindana ni hatari kwao. Visasi na kutupana ndani kwa ndani kutawabomoa wenyewe.
Makonda kwa CCM ni nani???..
Inajiharibia🤔 wakati inafanywa jitihada za kujijenga baada ya kuboronga vibaya,na pia wanafanya jitihada ya kujiosha dhidi ya waliowachafua,akina Kondaboy,Saambaya&co🤭Taasisi kama CCM huwa inasimama kwa watu wake kuwa pamoja na kusimama pamoja. Ni kweli kuwa makonda hakuwa mtu wa maana na alijaa kiburi, lakini kwa CCM kumchinjia baharini ni hatari kwao. CCM kuwa na nguvu haitegemei wananchi bali ushirikiano wao kwa wao na mshikamano wao. Kama hawawezi kulindana ni hatari kwao. Visasi na kutupana ndani kwa ndani kutawabomoa wenyewe.
Acha waharibikiwe kwani hayo ndio malipo yamfaayo mwovu 🤔Taasisi kama CCM huwa inasimama kwa watu wake kuwa pamoja na kusimama pamoja. Ni kweli kuwa makonda hakuwa mtu wa maana na alijaa kiburi, lakini kwa CCM kumchinjia baharini ni hatari kwao. CCM kuwa na nguvu haitegemei wananchi bali ushirikiano wao kwa wao na mshikamano wao. Kama hawawezi kulindana ni hatari kwao. Visasi na kutupana ndani kwa ndani kutawabomoa wenyewe.
Sijui ni nani ila ana ushawishi hadi walimpa ukuu wa wilaya na mkoa.
Hadi muda huu nilitarajia kuona, Kondaboy yupo jalalani/store kama alivyo Saambaya Kwa aliyoyatenda na kuwatendea wengine😜Makonda aliumiza hadi KM wa CCM hadharani akimfokea kama mtoto leo aonewe huruma? Kwa kuwa anatofauti gani na wanaccm wengine? Huyu hadi PM alimdhrau achilia mbali Bi. Mdashi
Ngoja tusome namba wote kwanza ili nzi wengine wajifunze heshima
Hiyo inaitwa akili kumkichwa,au zakuambiwa changanyamo na zakwako, ama pia mwanakulitafuta mwanakulipata🤸🤸🤸🤸Walimpa hivyo vyeo ili kumtumia kwa manufaa Yao!! Sasa umuhimu wake umekwisha lazima wamtose kwasababu ameuma mkono uliokuwa unamlisha!!
CCM haitegemei usafi wao kubaki madarakani. Inategemea mshikamano wa watu wenye ushawishi chamani.Inajiharibia🤔 wakati inafanywa jitihada za kujijenga baada ya kuboronga vibaya,na pia wanafanya jitihada ya kujiosha dhidi ya waliowachafua,akina Kondaboy,Saambaya&co🤭
Wengi waliotoswa walionyesha uasi kwa chama. Makonda ni loyal sana kwa chama chake.CCM imeisha watosa watu wazito kuliko Makondai wengi tu!! Huyu Makonda ni kicheche ambacho kinataka kuichafua taswira ya chama na kwenye chama hawakubali kuchafuliwa na huyu mtu wa kutoka shamba!! Angekuwa na akili angerudi kwao Kolomije hapa mjini atapotea!!!
Ongeza na Akina neck, Dola, msajili🤭 . Wanayaona mambo yao kuwa barabara kabisaaa🏃🏃🏃🏃CCM haitegemei usafi wao kubaki madarakani. Inategemea mshikamano wa watu wenye ushawishi chamani.
Wamekuwa bila mchungaji lazima wapoteaneJamaa mpaka Le Mutuz anamchana makavu now.. Chawa hawana huruma na mtu
Ila pia kumwadabisha ni ufunguo wa kuadabishwa Kwa wanakijani, wote kwani ni Imani yangu kuwa hakuna aliyemsafi, ila wanatofautiana Kwa kufichwa wayafanyayo gizani TU. Saambaya alitolewa kafara kwakuwa alivuka mstari mwekundu Kwa ukaidi wake na jeuri😜Bashite bado analindwa because he knoes too much
Angekuwa ametoswa hata kwa siku moja angekuwa kashaokotwa kwenye mtaro..
Ana maadui milioni moja.
huna akili.Taasisi kama CCM huwa inasimama kwa watu wake kuwa pamoja na kusimama pamoja. Ni kweli kuwa makonda hakuwa mtu wa maana na alijaa kiburi, lakini kwa CCM kumchinjia baharini ni hatari kwao. CCM kuwa na nguvu haitegemei wananchi bali ushirikiano wao kwa wao na mshikamano wao. Kama hawawezi kulindana ni hatari kwao. Visasi na kutupana ndani kwa ndani kutawabomoa wenyewe.