Maua kilasa
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 1,040
- 561
Jamani Marekani hakuna chama cha opposition. Vyote ni vyama. Na Republicans wanafanana zaidi na ccm kwa wapiga kura wao wengi ni wasiosoma. Yeyote anayeshinda anatawala kwa wakati ule na mwenzake anakuwa kwenye opposition kwa wakati ule. Kwa kuwa hakuna wizi wa kura hiyo inawezekana.
CCM wanachopaswa kujifunza tu ni kwamba inaweza akatokea mtu UKAWA akaondoa wateja wao wote wakaenda ukawa kwa kuwa wamechoshwa na chama tawala kama ilivyotokea kwa Trump.
Trump ameshinda kwa sababu watu walitaka kuipa adhabu serikali kwani hakupendeka hata kwa chama chake.
Lini atatokea huyo mtu?