Ipo Siku wewe utajinyea mchana kweupeee, chunga mdomo ndugu
Post yangu sikutaja Jina la Mwanasiasa yoyote zaid ya Trump tuliokuwa Tunamjadili nashangaa Nyumbu kuja na Jina la Mtu wao kumtetea tetea!
Ipo Siku wewe utajinyea mchana kweupeee, chunga mdomo ndugu
Ipo Siku wewe utajinyea mchana kweupeee, chunga mdomo ndugu
Mshukuru Mungu kwa kukupa afya, usimdhihaki mwenzio alie mgonjwa kisa wewe una afya, aliempa huyo ugonjwa ndie huyo aliekupa wewe afya! KABLA 2020 HAIJAFIKA UTAKUWA USHAANZA KUJINYEA, na hapo ndipo utajua kuwa Mungu hadhihakiwi!Post yangu sikutaja Jina la Mwanasiasa yoyote zaid ya Trump tuliokuwa Tunamjadili nashangaa Nyumbu kuja na Jina la Mtu wao kumtetea tetea!
Mshukuru Mungu kwa kukupa afya, usimdhihaki mwenzio alie mgonjwa kisa wewe una afya, aliempa huyo ugonjwa ndie huyo aliekupa wewe afya! KABLA 2020 HAIJAFIKA UTAKUWA USHAANZA KUJINYEA, na hapo ndipo utajua kuwa Mungu hadhihakiwi!
Ufisadi wake wewe unaujua? au alimrubuni Mamako?Kwa hiyo ukimdhihaki Fisadi ndo umemdhihaki Mungu sio! Kweli ukiwa na fedha utapata hata watu wa kukufananisha na Mungu
Ufisadi wake wewe unaujua? au alimrubuni Mamako?
cha kuambiwa changanya na chako!Mi alinambia Mbowe na niliona kwny Tovuti ya Chadema
cha kuambiwa changanya na chako!
Siku nyingine tetea hoja zako kwa ushahidi. Kuongea tu, hata Mkude Simba anaongea.Ndugu wapendwa sibahatishi kwa hiki ninachoandika, ninazo sababu tatu za kusema CCM kumpongeza Trump ni unafiki tena wa kifarisayo. Hapa USA wanachukia sana watu wenye tabia ya unafiki na ni moja ya sababu zilizomwangusha Bi Clinton maana walimuona kuwa mwongo ktk mambo fulani.
Sababu tatu za kusema CCM ni wanafiki
1-CCM hawaamini kuwa ni haki wapinzani kuchukuwa dola ila wenye haki hiyo ni chama tawala, kwahiyo kumpongeza mpinzani ni unafiki
2-CCM wanaamini kwamba mtu akipingwa na chama chake na akaanza juhudi zake binafsi kutafuta uongozi huyo ana uchu wa madaraka, Trump alipingwa sana na hata baadhi ya viongozi wakuu wa chama chake walitangaza hadharani kutokumuunga mkono ktk harakati zake za kuwania uongozi. Hakuna tofauti ya kupambana kwa Trump na Lowassa ila kwa CCM Lowassa ana uchu wa madaraka lakini Trump ni mpambanaji huo nao unafiki
3-CCM wanaamini mtu akihama chama chake kwenda kutafuta ungozi kupitia chama kingine ni makapi na hafai kabisa wamesahau Trump wanayempongeza leo alikuwa mwanachama wa Democratic tena mfadhili mkubwa kabla hajahamia Republican
Kwa sababu hizo nasema CCM kumpongeza Trump ni unafiki
kwani wapinzani ndo wameshinda, si wameshinda kijaniSasa hivi ni palestina au?????
Kweli kakana tukirogwa kupigia kura chama kingine nchi itageuka libya au iraq
sana, tena yamekubuhu kwa mambo hayoCcm wanafki
Trump mwenyewe ni mnafiki. Rejea maelezo yake wakati wa kampeni kuhusu obamacare.Ndugu wapendwa sibahatishi kwa hiki ninachoandika, ninazo sababu tatu za kusema CCM kumpongeza Trump ni unafiki tena wa kifarisayo. Hapa USA wanachukia sana watu wenye tabia ya unafiki na ni moja ya sababu zilizomwangusha Bi Clinton maana walimuona kuwa mwongo ktk mambo fulani.