CCM kumfukuza Himid na kuwaacha akina Lowasa,Chenge .

CCM kumfukuza Himid na kuwaacha akina Lowasa,Chenge .

Imenishangaza sana kwa muda fupi tu imemfukuza kutoka kwenye CCM Himid na kuwaacha akina Lowasa na Chenge ambao wote tunajua wamekichafua chama na ndio walioleta mpasuko kwenye CCM hata wakaambiwa wajivue magamba ama sivyo watafukuzwa ,hadi leo hakuna hatua yoyote matokeo yake Himid anafukuzwa kwa kutetea haki yake ya msingi.Ama kweli sikio la kufa halisikia dawa,kweli CCM hakuna usawa akina Lowasa na Chenge wapo juu kuliko wanachama wengine.

hawajakutana barabarani mwenyekit; wa ssm taifa; huyu ndiye rais a\jaaye
 
Imenishangaza sana kwa muda fupi tu imemfukuza kutoka kwenye CCM Himid na kuwaacha akina Lowasa na Chenge ambao wote tunajua wamekichafua chama na ndio walioleta mpasuko kwenye CCM hata wakaambiwa wajivue magamba ama sivyo watafukuzwa ,hadi leo hakuna hatua yoyote matokeo yake Himid anafukuzwa kwa kutetea haki yake ya msingi.Ama kweli sikio la kufa halisikia dawa,kweli CCM hakuna usawa akina Lowasa na Chenge wapo juu kuliko wanachama wengine.

Naona vijana wa joka la mdimu mmerudi kivingne,hii single ya kumfukuza el membe alsha icheza kwa ustadi mkubwa lakin bado ikagonga mwamba,sasa amewaachia mnaimba wimbo wa lowassa,lwasa,sasa hv kaja na single amefny featuring na riz na mama salma
 
Ungebainisha makosa ya himid,lowasa na chenge ingekuwa vema ili watu walinganishe yawezekana makosa ya akina chenge yakawa hayana uthibitisho ikawa ni siasa tupu.

Chenge-Vijisenti uswizz
Lowasa-Richmond
Himid- kuhusu muungano
haya sema sasa
 
Chenge-Vijisenti uswizz
Lowasa-Richmond
Himid- kuhusu muungano
haya sema sasa
Weka uthibitisho au viambatisho siyo umbea au kusimuliwa halafu sababu ya himid siyo muungano labda unamasilahi naye ndiyo maana unamtetea.
 
Kwa sababu CCM ina wenyewe DODOMA na wengine ni MAPIMBI tu
 
Weka uthibitisho au viambatisho siyo umbea au kusimuliwa halafu sababu ya himid siyo muungano labda unamasilahi naye ndiyo maana unamtetea.

siyo umbea.
Himid-
Akigusia suala la Muungano Mansour amesema ataendelea na
harakati zake kusimamia maslahi ya Zanzibar ili kuona mchakato wa Katiba Mpya unakuja na Katiba yenye Muundo wa Muungano wa Haki na Usawa baina ya Tanganyika na Zanzibar.

Lowasa na Chenge-
List of shame bado hawajakanusha au kushtaki kuwa wameonewa.Kwa maana nyingine hawajajishafisha.
 
Hivi ile operations ya kuvuana magamba iliishia wapi?

Sifa kuu ya Mwana CCM ni kuwa na tuhuma za wizi na ufisadi kama Lowasa, Chenge na Rostam; na uwe mnafiki kama wa Nape na Mwigulu.

Ukiwa mkweli au kusema unachokiamini na wakakustahi; ama wakutimue kama walivyofanya kwa Mzee Jumbe au Himid wiki iliyopita.

Ukiwa na huna bahati; watakufanyia kama Kolimba, ukipata bahati; utafanyiwa kama Dr Mwakyembe.
 
Hapo angalia hii movie ni kama ya sembe wanaotajwa ni vidagaa ila wale wenyewe magwiji wala.
sasa utawagusa magwiji si utapotea kabisa
 
shekhe ponda upo?vip umepona jeraha la risasi?
kweli mfumo k una nguvu yaani unaanza kuwapa watu majina bila kuwajua! Amini usiamini chenge na lowasa wangekuwa nje ya mfumo k ungeona, wapi Rostam Aziz? Unadhani alipenda kujiuzulu?
 
kweli mfumo k una nguvu yaani unaanza kuwapa watu majina bila kuwajua! Amini usiamini chenge na lowasa wangekuwa nje ya mfumo k ungeona, wapi Rostam Aziz? Unadhani alipenda kujiuzulu?

mdini mkubwa ww,yaan ww watoto wako xijui utawaachia urithi gn,umekalia udini ww,wenzako wakristo wanapeleka watoto shule nyie mnanunua suruali mnazikata mnajidai mnajuw Mungu,baki hvy hvy muone mnavyopigw gep
 
ukiutetea uislamu ni udini, lakini kwa ukristo ni sawa, kwa nini rostam tu ajiuzulu? Je chenge na lowasa hawakuwa kwenye level hiyohiyo ya ufisadi? Je nape hakuliona hilo? Kwa nini nape alinyamaza baada ya rostam kujiuzulu? Je kuna siri gan? Kiukweli kuna udini hapa nchini kwetu, mwaka 2015 usishangae huyohuyo lowasa makanisa yatampigia kampeni! Kuhusu shule mbona hao hao kina chenge wameenda shule lakini ni mafisadi? Washukuru mfumo k kwa kuwalinda!!
 
Imenishangaza sana kwa muda fupi tu imemfukuza kutoka kwenye CCM Himid na kuwaacha akina Lowasa na Chenge ambao wote tunajua wamekichafua chama na ndio walioleta mpasuko kwenye CCM hata wakaambiwa wajivue magamba ama sivyo watafukuzwa ,hadi leo hakuna hatua yoyote matokeo yake Himid anafukuzwa kwa kutetea haki yake ya msingi.Ama kweli sikio la kufa halisikia dawa,kweli CCM hakuna usawa akina Lowasa na Chenge wapo juu kuliko wanachama wengine.

Ukiwa fisadi ndo wanakukumbatia ila ukiwa mpenda haki na amani wasipokumwagia tindikali basi kucha na meno zinakuhusu kutolewa
 
ukoo wa panya unaweza kumfukuza panya asiyeweza kuiba kama wengine
 
Hapo ndo tatizo,WEZI wanalindwa na wanaotetea wananchi wanatishwa na kufukuzwa
#Ex Simper aliquid Novi#
 
ukiutetea uislamu ni udini, lakini kwa ukristo ni sawa, kwa nini rostam tu ajiuzulu? Je chenge na lowasa hawakuwa kwenye level hiyohiyo ya ufisadi? Je nape hakuliona hilo? Kwa nini nape alinyamaza baada ya rostam kujiuzulu? Je kuna siri gan? Kiukweli kuna udini hapa nchini kwetu, mwaka 2015 usishangae huyohuyo lowasa makanisa yatampigia kampeni! Kuhusu shule mbona hao hao kina chenge wameenda shule lakini ni mafisadi? Washukuru mfumo k kwa kuwalinda!!
Acha ujinga ww,nani kaanzisha udin kama ci ww,hv mtu mzima na akili zako unaletaje udini kw mambo yakipuuzi,mkuu kwakweli nimekudharau bure,yaan hapo jamii ingekuw tunaruhusiw kutukana sijui tus ambalo watu wangekkutukan,hv nani asiyejuw hii nchi iko kwny kipnd kigum kwaajili ya hiz hz chokochoko za watu kama nyie,leo kama wazaz walio kuzaa wangekuw wanaendekez udini kama huu ambao ww unautaja taja hapo,hv leo tungekuw wp,mods wakat mwngne inabd tukulaum mtu hawez andika utumbo kama huu mkamuacha,haingii akilin mtu mzm unakuja jamvin unalet uchochez wa kidn,ni juz majeraha ya udin hayajaisha leo umekuja na uchochez mwngne,nakuapia we chochea lakin madhar yake huyajui,mtu mwenyew yawekana ni maskin mkubw hata huna chochote ambacho nchi ikiingia machafukon utasema utakimbilia uhamishon,kumbe we ndo wakwanza kushughuliw kama mbw mwiz,watz wanataka amani kama ww amani imekushind bs usitulazimishe nasis itushindw,manake ww yawezakn ni laana uliyo achiw na ukoo wenu ndo ina kutafuna,kw mtu mweny akili timamu awez akandk mambo yakijinga kam hay,hii nchi tumezaliw tumekuta waislam na wakristo wanashirikiana kw upendo wote,leo unakuja chuki zako zakijing kutak kutengnish wati kw mising yakidin,kw hilo wtz hatutakuunga mkono,nyie ndo wale mnakaribia kuf,sasa we kajifie mwenyew usitake kutudumbukiza kwny machafuko ya ya udin
 
muulize Nepi singo ya kuvua gamba iliishia wapi? LOWASSA alisema lake ni gumu mpaka leo limekomea kifuani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom