Mafisadi ndani ya CCM yanapata wapi Jeuri?

MISULI

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
7,826
5,451
[03/11, 08:48] Sir Taylor: KWANINI MAFISADI WALIOKO NA HATA WANAOTOKA CCM WANAKUWA NA JEURI YA KUSEMA KAMA MNA USHAHIDI NIPELEKENI MAHAKAMANI?

By Sir Taylor.

Habari ndugu zangu.Kama kichwa cha makala yangu kinavyoeleza,Kwa muda mrefu sana tumeona watuhumiwa ufisadi walioko na wanaohama CCM wanakuwa wajeuri sana pale wanapopigiwa kelele kuwa ni mafisadi. Tumeona Jeuri za akina chenge,Lowasa,Nyarandu nk.Nini hasa kiini cha KUJIAMINI huku?Ni kweli wanakua wanaamini sio mafisadi hata wakipelekwa mahakamani,mahakama itasema hawana hatia?Ni kweli hizi tuhuma za ufisadi huwa ni propaganda tu za kisiasa kiasi kuamini wako safi?Kwa mtazamo wangu nimekuja na moja ya sababu ambayo naona inaweza kuwa ndio siri ya KUJIAMINI kwao.

NDANI YA CCM HAKUNA ALIYE MSAFI. Hii ni sababu inayowapa Jeuri mafisadi walioko na WANAOTOKA CCM. Kuna baadhi ya MAAMUZI mazito ya nchi huusisha balaza la mawaziri. Ni vigumu sana kwa mkataba kama wa Richmond au mtu kuuza nyumba au hata kugawa vitalu kama pipi bila balaza la mawaziri kujua au hata Office ya Rais kujua.Wazir akifanya kitu lazima kuwe na baraka za balaza la mawaziri au Rais mwenyewe. Ni vigum waziri kufanya maamuz makubwa ya nchi bila hawa watu bila kujua.

Kwakua CCM kumejaa wapiga dili ni rahisi sana waziri kutoa wazo la kifisadi na likaungwa mkono kwenye vikao vyao.Huyu analeta hoja ya kuuza vitalu,huyu analeta hoja ya mkataba wa kifisadi wa Richmond. Hawa watu ni vigumu kukwamishana. Ukiangalia mkulu naye mwenyewe anasehemu anapiga pesa.Unakuta balaza zima limejaa mafisadi,na MAAMUZI yanapitishwa biashara inaendelea. We umepakiza twiga kwenye ndege,mwenzio anaenda na sandarausi bank kuchota mapesa ya escrow utamzuia?

So utakuta CCM iliyopita ilikua ni genge la wapiga dili na wote walikua wanashirikiana sana.Leo utaweza vipi kumshughulikia muuza vitalu wakati baraka alikua anapata toka MAMLAKA ILIYOJUU?Na ukiangalia hiyo MAMLAKA ILIYOJUU ni untouchable?

Mtu kama chenge kila kashfa yupo lkn Jeuri anatoa wapi?Kama sio ktk mazingira haya?Mtu anakuambia mnipeleke mahakaman,sio kwamba sio fisadi,anajua chain iliyonyuma yake ni untouchable au ktk hayo maufisadi anajua alishirikiana na mamlaka iliyopo sasa hasa upande wa balaza la mawaziri.Mtu aliyeleta vichwa vibovu vya treni anaujasiri gani wa kumkoromea aliyepokea mgao wa escrow?

Ukimpeleka mahakaman atakuja na vimemo ambavyo mlikua mnaandikiana kupiga dili.Utakubali ukasimame kama shahidi kuwa wewe au wote mlikua mnashirikiana?

Kwahiyo niseme tu hakuna anayetoka CCM aseme yeye ni MSAFI na hizi za kusema kama mnaushaid peleka mahakaman ni kutaka kujinasua tu kwenye kashfa za kifisadi lkn ukweli ni hakuna mtu MSAFI CCM.

Kinachoendelea sasa watu kugombana huko CCM ni awamu hii kuanza kurudi kwenye Misingi ya maadili. Biashara ya kuanza kuziba mirija ambayo mlikua mnapitisha wote lzm ilete mpasuko ndani ya chama.Ukiangalia kila sector mafisadi walikua na mirija yao kwa ajili ya asali na maziwa. Leo unatimua watu bandarini,unafuta leseni za uwindaji yani kila sehem ni panga pangua. Unafikir hutaonekana una roho MBAYA?Uzuri dereva wa Lori alikua ni konda wa Lori lililopita. Unafikiri hajui mattz ya hili lori?Hajui wapi tank lilikua linavuja?

SWALI:
Jpm anataka kubomoa MFUMO wa ufisadi ndani ya CCM ,Je ataweza kubomoa bila kukiathiri CHAMA?
[03/11, 08:49] Sir Taylor: KWANINI MAFISADI WALIOKO NA HATA WANAOTOKA CCM WANAKUWA NA JEURI YA KUSEMA KAMA MNA USHAHIDI NIPELEKENI MAHAKAMANI?

Na Sir Taylor.

MKUU CCM NI ILE ILE.LILE NI SHAMBA LA BIBI NA NCHI PIA WAMEIGEUZA KUWA SHAMBA LA BIBI.
As long as raisi anatoka ccm hata awe msafi vipi lakini misingi na itikadi za chama zitamfanya achafuke tu.Wapiga dili wapo ccm miaka nenda rudi na hawachukuliwi hatua.
AFU CHA MWISHO KUNA WATU WANA KINGA.HAO NDO HATARI ZAIDI,MAANA WANA TUHUMA LAKINI HUWEZI HATA KUGUSA UNYWELE WA VICHWA VYAO
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom