CCM kumekucha ! Wabunge zaidi ya 20 waandaliwa kuwatukana Kinana na Makamba

The old guard ni majambazi tu..sioni hata wanachotaka kwa watanzania zaidi ya kushibisha matumbo yao.
 
Acha uongo wewe nani akupenyezee ujinga huo leo hii umeshaanza kuwaona akina Makamba na Kinana wa maana sio,nyie Chadema mna matatizo ya Makamba na Kinana waachie wenyewe wewe pambana na yenu huko kwenye SACCOS ya Kaskazini
😆😆😆😆😆
 
Wakuu natanguliza salamu , baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja yangu.

Nimepenyezewa taarifa iliyovuja kuhusu mkakati wa CCM wa kuwapanga wabunge kadhaa wanaofikia 25 akiwemo aliyetaka muda wa urais uongezwe , ambao kwa kufuatana watapokezana kuwatukana na kuwadhalilisha wazee wa CCM asilia , hii imetokea baada ya mkakati wa kwanza wa kuwarundika rumande wazee wastaafu kubuma , Taarifa za awali zinaonyesha kwamba tayari wabunge watatu kutoka kwenye kundi la CCM wamekwisha timiza walichotumwa .

Nzi wangu yupo STAND BY akiendelea kudaka kila kinachopangwa .

Mungu ibariki JF
CHADEMA inamatatizo mengi sana tofauti na unayoyakazania
 
Kwa mara ya kwanza nimamini nilikuwa najidanganya kuhusu Mzee Kinana! Yale macho yake madogo yenye nuru kali, tabia yake ya kuongea kwa steps, utu uzima wake...nk nilidhani ni mtu intelligent kumbe wapi....
Baba ukiguswa kwenye emotions zako lazima utasema tu
 
Hakuna sababu ya kukuza mambo, kusemana nikitu chakawaida bahati mbaya mawasiliano na uhuru wa kusema unachangia ugumu wa mambo, tunaimani na kiongozi watu, pia na wazee wananafasi zao lazima wataheshimiwa huu ndiyo utamaduni Bora wa kujenga nchi
 
Kuheshimiana wakati tayari mipango ya kuwakamata wazee inapangwa !
 
Kwa mara ya kwanza nimamini nilikuwa najidanganya kuhusu Mzee Kinana! Yale macho yake madogo yenye nuru kali, tabia yake ya kuongea kwa steps, utu uzima wake...nk nilidhani ni mtu intelligent kumbe wapi....

tehtehtehtehteh...nimecheka sana...Mimi binafsi nimeshangazwa kwa namna Kinana alivyojiingiza katika suala hili la debates...kumsema Rais kwa waraka kama ule...Yule siyo Kinana ninayemfahamu...There is something wrong somewhere??? Ni nai aliyemuingiza mkenge comrade Kinana???
 
Back
Top Bottom