CCM kumekucha ! Wabunge zaidi ya 20 waandaliwa kuwatukana Kinana na Makamba

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
67,249
Points
2,000

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
67,249 2,000
Wakuu natanguliza salamu , baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja yangu.

Nimepenyezewa taarifa iliyovuja kuhusu mkakati wa CCM wa kuwapanga wabunge kadhaa wanaofikia 25 akiwemo aliyetaka muda wa urais uongezwe , ambao kwa kufuatana watapokezana kuwatukana na kuwadhalilisha wazee wa CCM asilia , hii imetokea baada ya mkakati wa kwanza wa kuwarundika rumande wazee wastaafu kubuma , Taarifa za awali zinaonyesha kwamba tayari wabunge watatu kutoka kwenye kundi la CCM wamekwisha timiza walichotumwa .

Nzi wangu yupo STAND BY akiendelea kudaka kila kinachopangwa .

Mungu ibariki JF
 

M-mbabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2009
Messages
9,454
Points
2,000

M-mbabe

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2009
9,454 2,000
Wakuu natanguliza salamu , baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja yangu.

Nimepenyezewa taarifa iliyovuja kuhusu mkakati wa ccm academia wa kuwapanga wabunge kadhaa wanaofikia 25 akiwemo aliyetaka muda wa urais uongezwe , ambao kwa kufuatana watapokezana kuwatukana na kuwadhalilisha wazee wa ccm asilia , hii imetokea baada ya mkakati wa kwanza wa kuwarundika rumande wazee wastaafu kubuma , Taarifa za awali zinaonyesha kwamba tayari wabunge watatu kutoka kwenye kundi la ccm academia wamekwisha timiza walichotumwa .

Nzi wangu yupo STAND BY akiendelea kudaka kila kinachopangwa .

Mungu ibariki JF
.....maendeleo hayana vyama!!
 

prettya

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2019
Messages
213
Points
250

prettya

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2019
213 250
Sidhani kama kuna mbunge aliyeandaliwa kwaajili ya kazi hiyo
mambo mengine hata hayahitaji kuwa na Elimu kubwa kwazsababu ni vitu ambavyo viko wazi na vinaonekana
mfano ule waraka au voice note hakuna ambaye hajaiskia
watulie tu maana hakuna namna
ukiwa mchokozi ujue na kupigana ni hayo tu
 

Forum statistics

Threads 1,381,372
Members 526,066
Posts 33,797,567
Top