CCM kumekucha ! Wabunge zaidi ya 20 waandaliwa kuwatukana Kinana na Makamba

CCM ya sasa!
masoudkipanya_B0IWQzgFuo6.jpeg
 
Ya
Wakuu natanguliza salamu , baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja yangu.

Nimepenyezewa taarifa iliyovuja kuhusu mkakati wa ccm academia wa kuwapanga wabunge kadhaa wanaofikia 25 akiwemo aliyetaka muda wa urais uongezwe , ambao kwa kufuatana watapokezana kuwatukana na kuwadhalilisha wazee wa ccm asilia , hii imetokea baada ya mkakati wa kwanza wa kuwarundika rumande wazee wastaafu kubuma , Taarifa za awali zinaonyesha kwamba tayari wabunge watatu kutoka kwenye kundi la ccm academia wamekwisha timiza walichotumwa .

Nzi wangu yupo STAND BY akiendelea kudaka kila kinachopangwa .

Mungu ibariki JF
Ya ngoswe mwachie ngoswe ! Wazee wa CCM dadangu wanakuhusu tena !
 
Wakuu natanguliza salamu , baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja yangu.

Nimepenyezewa taarifa iliyovuja kuhusu mkakati wa ccm academia wa kuwapanga wabunge kadhaa wanaofikia 25 akiwemo aliyetaka muda wa urais uongezwe , ambao kwa kufuatana watapokezana kuwatukana na kuwadhalilisha wazee wa ccm asilia , hii imetokea baada ya mkakati wa kwanza wa kuwarundika rumande wazee wastaafu kubuma , Taarifa za awali zinaonyesha kwamba tayari wabunge watatu kutoka kwenye kundi la ccm academia wamekwisha timiza walichotumwa .

Nzi wangu yupo STAND BY akiendelea kudaka kila kinachopangwa .

Mungu ibariki JF
Hahahaha liongo kabisa jamaa wewe. Hivi unadhani CCM ni kama kile chama mfu??? CCM ni chama kinachojitambua hakiendeshwi na mihemuko na ndiyo maana unamuona Mh. Nape anavyoonekana mpole maana ile sauti ni yake halisi kabisa na kibaya ule waraka waliwaandikie wale wazee kushirikiana na mwezi mgumu wa ada
 
Kwa mara ya kwanza nimamini nilikuwa najidanganya kuhusu Mzee Kinana! Yale macho yake madogo yenye nuru kali, tabia yake ya kuongea kwa steps, utu uzima wake...nk nilidhani ni mtu intelligent kumbe wapi....
Nape ndo kamsababishia kuumbuka. Nappe alipokosa uwaziri kawa kama kichaa. Ndo maana anaumbuka kizembe zembe. Ajifunze kwa Mwigulu. Kusema ukweli usomi wa kihalali unasaidia sana kwa kweli.
 
Sisi Tunaomba Mungu watoane meno Tuanze upya. Haiwezekani Nchi yetu wote halafu mnakula nyie tu, miaka zaidi ya 50 sasa.
Keki ya taifa wamejimilikisha wao na familia zao, pasuka ccm pasuka vipande vipande tuanze upyaaaaaaaaa.
 
Wakuu natanguliza salamu , baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja yangu.

Nimepenyezewa taarifa iliyovuja kuhusu mkakati wa ccm academia wa kuwapanga wabunge kadhaa wanaofikia 25 akiwemo aliyetaka muda wa urais uongezwe , ambao kwa kufuatana watapokezana kuwatukana na kuwadhalilisha wazee wa ccm asilia , hii imetokea baada ya mkakati wa kwanza wa kuwarundika rumande wazee wastaafu kubuma , Taarifa za awali zinaonyesha kwamba tayari wabunge watatu kutoka kwenye kundi la ccm academia wamekwisha timiza walichotumwa .

Nzi wangu yupo STAND BY akiendelea kudaka kila kinachopangwa .

Mungu ibariki JF

Naona punguani Kibajaji kashaanza!

Hii shithole country bana!

I’m ashamed!
 
Hizi thread zenu Mngekuwa mna zianzisha kudai tume huru ya uchaguzi mngeisaidia sana Chadema kuliko huu upupu.

Tume huru ya uchaguzi imeshadaiwa sana mpaka kufikia watu kupata vilema hadi vifo. Je huu uzi ndio utazuia hiyo tume huru ya uchaguzi kupatikana? Sasa hivi tume huru itapatikana baada ya machafuko, njia ya diplomasia haionyeshi kuleta matunda kwani wanaofaidika na tume hii wako tayari hata kumwaga damu isipatikane.
 
Nape ndo kamsababishia kuumbuka. Nappe alipokosa uwaziri kawa kama kichaa. Ndo maana anaumbuka kizembe zembe. Ajifunze kwa Mwigulu. Kusema ukweli usomi wa kihalali unasaidia sana kwa kweli.
Asante sana mkuu, umenionyesha upande mwingine ambao sikuuzingatia, hata hivyo kwa umri wa huyu baba yetu si angeteta na wazee wenzie kabla hajajaa mzima mzima kwenye hizi harakati za Nape, na si hivyo tu hata maneno aliyotumia kama si ya level yake?
 
Kwa mara ya kwanza nimamini nilikuwa najidanganya kuhusu Mzee Kinana! Yale macho yake madogo yenye nuru kali, tabia yake ya kuongea kwa steps, utu uzima wake...nk nilidhani ni mtu intelligent kumbe wapi....
Kama amekuongoza kwa zaidi ya miaka mitano bila kumwelewa baada ya kustaafu ndio unashtuka basi akili yako itakuwa ndogo sana.
 
Kawaulize Bashe na Lusinde

Iweje ww mtu wa Chadema unashabikia mambo ya CCM? Na unachofurahia wana CCM kujibishana, sisi CCM hatuoni shida sbb tuna uhuru na demokrasia ktk chama, nyie Chadema mmefungwa mdomo huko kwenu, mnakuja kufungua huku CCM, au kama unabisha muulize Mbowe lini anaachia uenyekiti au ruzuku zenu zinaenda wapi? Hamuwezi kuhoji hata hayo huko Chadema, vitu vya msingi kabisa, mnashadadia ya CCM.. CCM ni Chama cha watu wenye fikra huru, uwazi na unaweza mpinga hata mwenyekiti wetu na ukitaka unaondoka au unaachia madaraka ikiwa huelewani na maamuzi ya Chama.. Vilevile CCM ina taratibu zake za kutia adabu wanachama wanaoenda kinyume na katiba ya Chama..!!

Chadema hata kuiga tu hamuwezi, mtu mmoja Mbowe anakula ruzuku na hatoki uenyekiti, mnataka kuongoza nchi ya wapi? Mm nawashauri mna matatizo makubwa Chadema, shughulikieni yenu mmalize, ya CCM hayawahusu, tukutane 2020..
 
Natamani wavuane nguo kabisa hadharani tuoni nanii zao..
Wote hawa ni washirika wa Tanzania ilipofikia sasa. Wanaosema tumeibiwa sana, walikuwa sehemu ya waizi ambao sasa wanalalamika, wazi nao wanadai ndo waliwafikisha hawa wanaosema tumeibiwa sana hapo walipo. Je tukiwahoji wao ni wasafi, boti, nyumba barabara, maamuzi ya hasara kama vile ya masamaki.
Wakivurugana na kusambaratika ndo utajiri na usalama wa Taifa.

Asante sana mkuu, umenionyesha upande mwingine ambao sikuuzingatia, hata hivyo kwa umri wa huyu baba yetu si angeteta na wazee wenzie kabla hajajaa mzima mzima kwenye hizi harakati za Nape, na si hivyo tu hata maneno aliyotumia kama si ya level yake?
Hakuna cha kuandaliwa wala nini,acha porojo.Kwani kujitokeza watu kuwajibu mpaka waandaliwe.Kuna wabunge walikuwa wanachukizwa na mambo yalivyokuwa yanakwenda huko nyuma na sasa wanaungana na raisi kulisongesha taifa mbele
 
Iweje ww mtu wa Chadema unashabikia mambo ya CCM? Na unachofurahia wana CCM kujibishana, sisi CCM hatuoni shida sbb tuna uhuru na demokrasia ktk chama, nyie Chadema mmefungwa mdomo huko kwenu, mnakuja kufungua huku CCM, au kama unabisha muulize Mbowe lini anaachia uenyekiti au ruzuku zenu zinaenda wapi? Hamuwezi kuhoji hata hayo huko Chadema, vitu vya msingi kabisa, mnashadadia ya CCM.. CCM ni Chama cha watu wenye fikra huru, uwazi na unaweza mpinga hata mwenyekiti wetu na ukitaka unaondoka au unaachia madaraka ikiwa huelewani na maamuzi ya Chama.. Vilevile CCM ina taratibu zake za kutia adabu wanachama wanaoenda kinyume na katiba ya Chama..!!

Chadema hata kuiga tu hamuwezi, mtu mmoja Mbowe anakula ruzuku na hatoki uenyekiti, mnataka kuongoza nchi ya wapi? Mm nawashauri mna matatizo makubwa Chadema, shughulikieni yenu mmalize, ya CCM hayawahusu, tukutane 2020..
😆😆😆😆😆
 
Kwa mara ya kwanza nimamini nilikuwa najidanganya kuhusu Mzee Kinana! Yale macho yake madogo yenye nuru kali, tabia yake ya kuongea kwa steps, utu uzima wake...nk nilidhani ni mtu intelligent kumbe wapi....
Tatizo la huyu mzee thinker tank wake mtoto wa hayati Moses ambaye upstairs hamna kitu na elimu ya kuunga unga ya India.

Na kingine alijua akitoka yeye kama katibu mkuu basi alijua Dr Bashiru asingeweza kukiendesha chama.
 
Kwamba wakati wengine wanahangaika usiku na mchana kutangaza kazi kubwa ya maend.jpg
 
Back
Top Bottom