CCM Kumbe ilikuwa ni nguvu ya Soda

CCM Kumbe ilikuwa ni nguvu ya Soda

youngsharo

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
2,491
Reaction score
500
Tuwe wawazi jamani, wakati kampeni zinaanza kulikuwa na vijana kibao humu ndani ambao walikuwa wanaitetea ccm, hasa humu Jamii Forums,

Lakini kwa sasa siwaoni tena, zaidi ninachokiona ni habari za Ukawa wakizidi kufanya mabadiliko.

#hapamabadilikotu , kazi kwa muhindi.

Mkoa wa Dar naona ccm ndo imezima kabisaa, sijui labda mikoa mingine.
 
tumewaachia team lowassa kampeni za mitandaoni baada ya kuona hazina madhara kwa mgombea wetu sababu watanzania wanaotuungga mkono na wapiga kura watiifu wa ccm hawatumii au hawana access ya mitandao,kura za watumiaji mitandao ni chache!

4.jpg

Akabidhiwa fimbo aliyokua akiitumia mwalimu nyerere,fimbo maalumu ya kuwashugghulikia mafisadi kupitia mahakama maalum kwa ajili ya mafisadi

DSC_0977.jpg

wapiga kura ndio hawa,hawamo mitandaoni wako huko site ambako lowassa hawezi kufika kwa sababu za kiafya

DSC_0715.jpg

kampeni kwa njia ya barabara...ukawa hawafiki huku,wako angani

2.jpg

pipos.....
 
tumewaachia team lowassa kampeni za mitandaoni baada ya kuona hazina madhara kwa mgombea wetu sababu watanzania wanaotuungga mkono na wapiga kura watiifu wa ccm hawatumii au hawana access ya mitandao,kura za watumiaji mitandao ni chache!

Pole sana kwa kupuuzia kura mojamoja.
 
Lowassa hatashinda. Kosa la ukawa ni la kimkakati. Kama Dk Slaa angesikilizwa ushindi kwa ukawa ingekuwa asubuhi.
Dk Slaa alitaka kuwaandaa wagombea wote kwa kuwapa mafunzo. Mjue sasa hivi kampeni za majimboni kwa upande wa ukawa zimedorora. Wakati CCM wameanza kampeni za nyumba kwa nyumba ukawa bado wako ngazi ya taifa.

Ni kweli Lowasa anapata mapokezi makubwa zaidi ya Magufuli. Lakini Lowasa anaenda sehemu chache sana kulinganisha na Magufuli. Lowasa anapita angani. Magufuli anapita chini. Magufuli amekuwa akikutana na watu wengi sana njiani wanaomsimamisha awasalimie. Huwezi kusema hata hao wamesombelewa na magari na kupewa pesa.

Mwendelezo wa kampeni anapotoka Magufuli ni mkubwa kuliko wa ukawa.
Awali nilifikiri CCM walihitaji kuchakachua ili washinde. Nilikosea. Watashinda bila kuiba kura ila kwa kampeni za kila aina, halali na haramu. Hata hivyo, ushindi wa CCM hautakuwa mkubwa.
 
tumewaachia team lowassa kampeni za mitandaoni baada ya kuona hazina madhara kwa mgombea wetu sababu watanzania wanaotuungga mkono na wapiga kura watiifu wa ccm hawatumii au hawana access ya mitandao,kura za watumiaji mitandao ni chache!

hamna jipya
 
Huku mtwara Lowasa ndo habari kuu wafanyabiashara wote wamepanga kufunga biashara zao siku moja kabla ya ujio wake ili kumpokea chaguo lao
 
Sasa hivi wamegundua kwamba bila kuongozana na wasanii hawauzi.
Naomba kuuliza gharama wanazozitumia kwenye kampeni zao za kulipa wasanii wote wale, haziingii kwenye gharama za uchaguzi? Ni formula gani inayotumika ku-calculate gharama za uchaguzi? Au kwasababu tume inawaogopa? Maana tumeshuhudia wakizidisha mpaka muda wa kampeni mara mbili lakini jamaa zetu wameufyata! Wanazidiwa hata na bi asha bakari aliyeufyatua!
 
Back
Top Bottom