CCM kukata rufaa Ubunge Igunga...

Janjaweed walipanda jukwaani na ma pistol kutishia watu,Magufuli akawaua kabisa na wengineo waliorusha pumba zao kina Mukama na Sheikh wao!bado mapilau waliolisha watu bure na misaada ya vyakula!!balaa sanaa
 
Hawawezi kutoka hapo kamwe!

Kwa facts alizo zitoa judge hawawezi kushinda kamwe wanapoteza muda tu!
 
CCM nadhani wanataka kutuambia alichofanya Magufuli, rage ni sawa kabisa
wanataka kutuambia kwao aspichaguliwa mwana CCM eneo hilo litatengwa
wanataka kutuambia kugawa mahindi na vyakula na kauli za vitisho wakati wa kampeni ni sawa
nina mashaka na bongo zao.lengo la kusumbua mahakama na kuwacheleweshea wana Igunga haki ya kuwakilishwa bungeni
 
tuone kama mahakama kuu itasafisha rushwa ya mahindi na ya daraja.
 
hoja saba zilizomvua ubunge dr kafumu ztabadilishwa na rufaa au kwa vile ni haki kisheria kufanya hvo wameamua kukata rufaa?
 
sasa atagombea nani wakati Dr hawezi kuwekwa kundi moja na akili za nape/mwigula labda chama kifanye mabadiliko makubwa ya structure yake na utendaji, kachoka kufanywa kubwa jinga, analilia tanzania yetu ameoteshwa.
 
Wakati umefika wa CCM kujifunza kutofautisha nafasi za mawaziri na kampeni, pia wajue wakati wa kampeni watangaze sera sio kutishia wapiga kura kwa nafasi zao cuz hiyo ni rushwa.
 
mbona hajatoa mfano wa hoja anayoipinga?kama kwa lema watu walionyesha sehemu zenye mapungufu
 
ccm.gif

chama cha mapinduzi wakata rufaa kupinga hukumu ya kutengua ubunge wa dr Kafumu
hawajaridhishwa na hukumu ya jana.
je tutafika?
source michuzi
Wanalazimisha kwani kafumu kasema hataki kabisa siasa anarudia kazi yake ya zamani kwani walimtelekeza. nafikiri hii ni njia ya kuchelewesha tu ili CHADEMA wasilichukue jimbo
 
yote haya ni udhaifu wa serkali ya ccm.walosababisha yote haya kama makufuli.rage,sheikh waadhibiwe,
 
Chadema mlishindwa kesi ya Arusha mkakata rufani hapo ninyi ilikuwa halal i. Tena mlikata rufani kinyume cha Godbless Lema ambae Ali'sema tayari kurudi kwa wananchi, lakini kwa kutuambia jinsi wananchi wa Arusha walivyochoka na fujo zenu, mliamua kupata rufani ili kuepuka aibu ambayo mngepata kama mngeingia kwenye uchaguzi Wakati kabla wanung'unikaji hawajaleta mafungu. Sioni man tiki ya kupinga kelele CCM ikiamua kukata rufani. After all grounds za kukata rufaani zako wazi.
 
inashangaza kama jana dr kafumu alisema hana nia ya rufaaleo wanatoa kauli nyingine.
HILI HALIPINGIKI!... Nilijua lazima wakate rufaa.. MOTO wa CDM unatisha!... kwao ni heri jimbo likae wazi hadi mwaka 2015 kuliko kuumbuliwa na MAKAMANDA wa CDM!....
 
Back
Top Bottom