CCM kukata rufaa Ubunge Igunga...

sifurahii chaguzi kurudiwa kwa arusha wala igunga
kwani ni kodi zetu zinatumika vibaya na nchi maskini
waliosababisha yote haya wawajibishwe na vyama vyao na walipe garama zote zitakazotumika katika chaguzi za marudio
tukianzia na hao uliowataja.
kwa hili la igunga naamini hata wakirudia CCM itaumbuka vibaya sana
ndio maana wamekimbilia rufaa kupoteza muda
Najiuliza kwa nini kusiwe na sheria ya wagombea au wapiga debe wanaoisababishia nchi kuingia kwenye ghrama mpya ya uchaguzi mdogo kwa hela za walipa kodi?
Watu kama Makufuli, Rage, Mkama, Huyo sheikh wa msikiti walitakiwa wanyongwe!
 
Hakikisha habari yako kisha urudi coz Dalali mwenyewe kasema hatakata rufaa. mia
 
Wanakata rufaa ili kupoteza muda wa kufanyika kwa uchaguzi kwani serikali yao haina hela. Kwauhakika CCM wanajua sana na walishajua muda mrefu kuwa hiyo kesi watashindwa na ndiyo maana hata cheo walichomuahidi Dr. Kafumu kuwa watampa hawakumpa kwasababu hiyo hiyo. Dr. Kafumu hakuacha ukamishina kwenda kukaa viti vya nyuma bungeni alikuwa amehidiwa kiti cha mbele lakini ikawa sio.
 
CCM mahakamani ni sitting room yao.Siku hizi kila kitu swala liko mahakamani, hiyo single bado inalipa kwao acha waende huko WEREMA amewashauri.Ndiyo kimbilio lao, mahakamani ndiyo sala yao ya BABA YETU ULIYEMAHAKAMANI JINA LAKO LITUKUZWE
 
Lengo ni kuchelewesha haki ya watanzania.CCM haiko tayari kuingia kwenye uchaguzi wowote kwa wakati huu kwani wanajua jua limewawakia.
 
Nnauye, anaogopa kipigo cha mbwa mwizi, sisi Arusha hata mkishinda jimbo ni letu, nasikia harufu ya mchezo mchafu unanukia,
 
Demokrasia na utawala wa sheria uheshimiwe. Rafani ni haki ya msingi ya kila mtu. CCM isibezwe kwa kutumia haki yake ya msingi.
 
Wanakata rufaa ili kupoteza muda wa kufanyika kwa uchaguzi kwani serikali yao haina hela. Kwauhakika CCM wanajua sana na walishajua muda mrefu kuwa hiyo kesi watashindwa na ndiyo maana hata cheo walichomuahidi Dr. Kafumu kuwa watampa hawakumpa kwasababu hiyo hiyo. Dr. Kafumu hakuacha ukamishina kwenda kukaa viti vya nyuma bungeni alikuwa amehidiwa kiti cha mbele lakini ikawa sio.

Hayo ndiyo malipo ya kudhalilisha taaluma kwa sababu ya njaa na ulaku wa madaraka. Nimepata fununu bunge la Tz linaongoza duniani kwa kuwa na Dr. na Prof. wengi zaidi, aibu iliyoje kwa nchi yenye wasomi wachache kama hii!
 
Najiuliza kwa nini kusiwe na sheria ya wagombea au wapiga debe wanaoisababishia nchi kuingia kwenye ghrama mpya ya uchaguzi mdogo kwa hela za walipa kodi?
Watu kama Makufuli, Rage, Mkama, Huyo sheikh wa msikiti walitakiwa wanyongwe!

du!!
Mkuu,wanyongwe?!!
 
Aiseee baba yangu aliye kuwa mbunge kashasema hataki tena ubunge anarudi kwenye fani yake ya madini sasa wakishinda rufaa itakuwaje watamteuwa nani awe mbunge ingali mwenyewe amesema anarudi kwenye madini
 
Siku zote chochote KISICHO HAKI huwa HAKILIKI.

Kafumu na Tume ya Uchaguzi kwa pamoja waturudishie sisi walipakodi gharama zote za uchaguzi tulizotumia kugharamia kule Igunga.

Someone somewhere has the obligation to pay for the Kafumu mess here.
 
makamba aliagiza magamba yote yaliyopigwa chini 2010 yafungue kesi,huu ni mwendelezo wa falsafa ya ccm kutegemea mahakama kubaka haki....
 
Back
Top Bottom