Mtu akimaliza pale muhindi hafai kwa UongoChuo Kikuu cha kufundisha watu uongo? Kwa maana ndo kazi pekee iliyobaki huko Lumumba. Ni UONGO, UONGO, UONGO!
Pesa Iipo si wamejichotea tirion 1.5 kitoka hazinaCCM ina mpango wa kujenga chuo kikuu ili kuhakikisha makada na wananchi kwa ujumla kupata elimu.
Ndugu jiwenani kakwambia zimewashinda?
Hicho kitakuwa choo kikuu. Watu wakatupie mizigo yao humo.CCM ina mpango wa kujenga chuo kikuu ili kuhakikisha makada na wananchi kwa ujumla kupata elimu.
Ni uamuzi wa maana sana , haiwezekani kabisa 1.5 iishie kununua madiwani tu , utakuwa ujinga wa kiwango cha juu sana !CCM ina mpango wa kujenga chuo kikuu ili kuhakikisha makada na wananchi kwa ujumla kupata elimu.
Huwa na Msikia Polepole akisema Serikali ya CCM hivi ina maanisha nini 'We are suposed to say A Govenment of Tanzania" Hakuna popote Duniani ukasema Serikali ya Chama Fulani'A Government of CCM" Makosa km haya Nadhani wahusika wachukue HatuaCCM ina mpango wa kujenga chuo kikuu ili kuhakikisha makada na wananchi kwa ujumla kupata elimu.
da,watakao enda kusoma huko nadhani watakuwa vilaza wa taifa,kama chama chenyewe kimeshindwa tu kusimamia shule zake za jumuia ya wazazi ni chuo kwel watawezaa?DA TUAMKE WATANZANIACCM ina mpango wa kujenga chuo kikuu ili kuhakikisha makada na wananchi kwa ujumla kupata elimu.