kilombero yetu
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 1,004
- 117
Tofauti na vyama vingine kaimu katibu mkuu wa UVCCM anaonekana kila anapopita anakutana na watoto wanaorisishwa imani ya CCM ambayo sasa ipo katika misingi wa HAPA KAZI TU
VIZURI VYAMA VINGINE VIKAIGA HILI
BADALA YA KURITHISHANA WANACHAMA WENYE TUHUMA za ufisadi
Ama unakuta chama kinataka kupewa nchi kinaokota makamu wa rais ambae baada ya kushindwa urais uzalendo unamshinda kwa miezi sita tu anarudi kwenye chama chake anashindwa ata kuvumilia kusubiria miaka mitano ijayo
Shaka songambeke