Nilitaka kushangaa kwa kuona Mwiba kaamua kuandika hivyo kumbe anataka kuangalia upepo unaelekea wapi..... Mwiba usijisumbue kama upo sehemu ambapo hakuna mchanga ambao utakusaidia kuangalia uelekeo wa upepo, wewe achia tu hewa chafu kutoka kwenye Masaburi kisha angalia upande upi wanahangaika kufumba pua ujue huko ndiko upepo unalekekea