CCM kuibuka kidedea uchaguzi Arusha


Sishangai kwa sababu mmeshatumia policcm kupata ushindi wa mezani hata kabla ya uchaguzi....
 
Afungiwe kwa utabiri feki mara mbili mbeya na arusha hfai tena kuendeleza propagnda aende huko
 

Weka uzi mwingine wa kusifia CHAMA DUME(CHADEMA)....
 
Nina hamu ya kusikia utakuja kusema nini iwapo Chadema itashinda kata hizo
 
Afungiwe kwa utabiri feki mara mbili mbeya na arusha hfai tena kuendeleza propagnda aende huko
 

Tayari nimekupakata mbona hukukuruki dear?
 
kajifichia chooni huyu sio bure, lazima leo aanze kuziona....matokeo haya ni makubwa ati
 
Haya mambo ya kufikirika ona sasa ulivyoumbuka...Mmetumia nguvu kubwa halafu mmepoteza...
 
Namuona hata Mwigulu kasepa kaisahau hata wall yake FB
 
Juliana Shonza, unafanya kazi nzuri ya kuidharaulisha CCM kwa watu wenye akili zao na wanaojiheshimu.

Kwa sasa wewe, Mtela na Mwigulu mmekifanya CCM kionekane ni chama cha Wahuni, waongo (Ban ya Mtela Mwampamba hapa Jf), wenye midomo michafu (Ban ya Mwigulu hapa JF), wakatili, wasio na uvumilivu wa kisiasa n.k.

Mbaya zaidi mmeonesha kuwa hakuna mazuri ya CCM yanayoweza kuuzwa jukwaani, bali lazima muongelee Chadema. Si lazima kuwa ukionesha kuwa chadema ni wabaya CCM wanakuwa wazuri. Na mara nyingi watu huchukia binadamu mwenye ajenda ya mabaya tu.
 
Dada July za Jioni kwema?Usitumike tena binafsi nimekusamehe maana najua ulijua ni upepo tu.I HATE YOU AND SHAME ON YOU unaaibisha mwanamke wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…