CCM kufanya Maandamano makubwa ya kihistoria Songea kesho

Lipumba alitaka kufanya watu wajinga akishirikiana na vyombo vya CHADEMA akajidai kuzuia maandamano wakati in reality waliandamana picha za wafuasi wake kuning'inia kwenye gari limedhihirisha hilo.
 
Hiki chama cha ccm kina sifa mbaya zote

- Chama cha mafisadi - majizi na mahujum uchumi

-Chama cha magaidi - Mauwaji na matesaji

-Chama cha manafiki - wanaongoza kwa ahadi hewa, mahakama ya kadhi, ukabila na ukanda, sijuwi nini dubai nk

-Chama cha majinga - mshama, Lusinde, maji marefu, komba, nawengine weeengi hovyo kabisa

Utashangaa Chagonja akihudhuri mbele kabisa, mfukoni atakuwa na kadi ya CCM, wengi wa wakuu wa majeshi na usalama nimakada

Kweli ndyoo maana wastaafu wengi wa Majeshi wanagombea uongozi kwa ccm
 
Bila shaka madhumuni na maudhui ya maandamano ya CUF na maandamano ya CCM ni tofauti wala hayafanani kwa namna yoyote ile. Pamoja na hayo bila shaka CCM wamepeleka barua ya maandamano mahali husika na si kama CUF.
Siku ya kuzaliwa CCM ni tarehe tano ambayo inaangukia kwenye siku ya kazimila kwa busara zao CCM wameamua kufanya maandamano jumapili ili kutowabudhi wananchi na kazi zao.

Kama si ushabiki; basi una hali fulani ya mtindio wa Ubongo! Ni lini uliambiwa CUF hawakuandika barua.

Ni moja ya Double Stabdard! Wakat mwingine Jeshi la Polisi linasababisha mihemuko bure tu. Wangeacha yaendelee naamini hamna uvunjifu wowote wa aman ungetokea!
 
MwanaDiwani tunaomba picha ya maandamano chagonja akiwa mstari wa mbele
 
Last edited by a moderator:
Bila shaka madhumuni na maudhui ya maandamano ya CUF na maandamano ya CCM ni tofauti wala hayafanani kwa namna yoyote ile. Pamoja na hayo bila shaka CCM wamepeleka barua ya maandamano mahali husika na si kama CUF.
Siku ya kuzaliwa CCM ni tarehe tano ambayo inaangukia kwenye siku ya kazimila kwa busara zao CCM wameamua kufanya maandamano jumapili ili kutowabudhi wananchi na kazi zao.

How old are you?
 
Siku ya jumapili tarehe moja mwezi wa pili kutakuwa na maandamano makubwa ya MWISHO KABISA YA CHAMA CHA MAPINDUZI... mjini Songea na kupokelewa na Mwenyekiti wake Ndugu Jakaya Mrisho KIKWETE.
KIKWETE AMBAYE pia ni rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania aliyebakisha miezi tu kumaliza muda wake atahutubia waandamanaji hao katika uwanja wa maji maji Songea.
CCM ilizaliwa tarehe 5/2/1977 ambayo ni tarehe ya kuzaliwa azimio la Arusha (1967-1992); TANU - (1954 - 1977); ambavyo vyote vilitangulia na kutuacha.
CCM watafanya maandamano hayo Songea bila vikwazo wala vitisho vya polisi na kuyaita "MATEMBEZI YA MSHIKAMANO".. HAWATAPIGWA MABOMU WALA KUZUIWA NA POLISI kama alivyofanyiwa profesa Lipumba na vijana wake. Wala spana kama zilizotumika kumpiga Kambaya wa CUF haxitatumiwa na jeshi la polisi.
Watu weeeeengi watajitokeza kushuhudia safari ya mwisho ya CCM kama chama tawala.
PIKI PIKI ZA VIJANA WOTE ZITAJAZWA MAFUTA NA BENDERA, TSHIRT NA KOFIA WATAPEWA BURE.
WATU WENGINE WATASAFIRISHWA KUTOKA VIJIJINI KWA GHARAMA YA CHAMA NA KUSHIRIKI MAANDAMANO HAYA YA MWISHO KABISA KUFANYWA NA CCM IKIWA MADARAKANI.
Mwaka ujao hakutakuwa na maandamano kwakuwa kitakuwa ni chama cha upinzani dhaifu kuliko hata ACT - TANZANIA kile chama cha RANGIBARIDI.
Nipo SONGEA KUSHUHUDIA SAFARI YA MWISHO YA CCM KABLA YA KUANGUKA HAPO OKTOBA, 2015. KARIBUNI.
Mkuu salute
 
richard robert endelea kuota ndoto ya ndaria tu. kwanza hayo sio maandamano ya mwisho kupokelewa na kikwete kwani bado atabaki mwenyekiti mpaka 2017 hivyo bado ana miaka miwili zaidi na pili sisi tuliomba kibali na kuelezea maudhui na madhumuni ya maandamano yetu na mkutano wetu kuwa ni kusherehekea kuzaliwa kwa chama chetu. nanyi mnaweza kuandaa maandamano ya kusherehekea kuzaliwa chama chenu lakini sio kujifanya mnaomboleza vifo. hapo mtakuwa mnapingana na serikali. kama mngeomboleza vifo vya wapemba kule kisiwani pemba hapo mngeeleweka lakini hapa dar es salaam mlikuwa na ajenda ya siri. mlitaka muandamane halafu wale watu mliowapa bunduki wafyatue bunduki zao raia wasio na hatia wafe muwasingizie polisi. kama nia yenu ilikuwa safi mngefanya mkutano wenu tu pale mbagala na sio kuandamana kutoka temeke hadi mbagala. lengo lenu ni kuleta vurugu tu.
t-shirt na kofia tunatoa kama ninyi mnavyotoa kwa wanachama wenu wakati wa mikutano yenu na mafuta ya pikipiki kama ninyi mlikuwa mnawajazia wale waliokuwa wanaongoza maandamano yenu basi nasi tutafanya hivyohivyo lakini kama hamkufanya basi wewe ni muongo mzushi

Muhongo keshawachia ngazi
 
Kwa hiyo kwa mtazamo wako movement ya maandamano huwa na nia mbaya.
Je, kwanini unaamini maandamano ya ccm yana nia nzuri na maandamano ya Ukawa yana nia mbaya?
Very soon tutatangaza ukomo wa uvumilivu na hapo ndio tutaheshimiana.
 
Mkuu ccm ni wastarabu sana mda wote wao hawajawahi kufanya fujo ila wao ndiyo hufanyiwa fujo na wapinzani.

Hakuna chama tz kilishawahi leta fujo,
Polisi ndiyo huwa wanaleta fujo na baadae wanawapakazia wanachama
 
Nimeyaona mafuso kibao pale songea mjini yanajazwa mafuta ili kuwafuta wana ccm toka mashambani

Wanapakiwa Kama ngombe!!!!
Ni ukiukwaji wa sheria ya kusafirisha abiria.
Polisi zuia aina hiyo ya usafiri
 
Back
Top Bottom