Fitinamwiko
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 4,803
- 1,416
Kila dalili zinaonyesha umaarufu wa CCM unazidi kutokomea. Pamoja na mipesa wanayomwaga kununua Tshirt, kufia na Kanga, wananchi tunazidi kuwakimbia. Walitumia jeshi la Police kuwatisha wananchi kuhudhulia mikutano ya Wapinzani, wapi ndio kwanza wamekoleza moto. Sasa wanakata umeme, kuhujumu mukutano, wamesahau generators zipo kusaidia.
Je CCM ikishindwa (ohh sorry)itakaposhindwa 2015, ni mkoa gani tuuchague kubeba kaburi lake?
Hii ilikua ni point kubwa sana kule jukwaa la lugha, ila bahati mbaya hapa ni siasa. Mkuu, goal lako offside!Kuhudhuria, wewe ni Mtanzania au ndio wale mnajifundisha Kiswahili mkianza shule?
Magamba mbona ilishakufa siku nyingi..... Tunasubiri mazishi yake tu.
Siku mkipata mbunge kutoka Zanzibar.
Siku Mwalimu alipotamka, "CCM si mama yangu" ndio siku rasmi CCM ilipokutana na umauti wake sasa tunasubiri mazishi tu ili ipotee kabisa kwenye anga za siasa za Tanzania.
Ndugu Siasa wa Tanzania, anasikitika kutangaza kifo cha bwana CCM, aliyeuawa kwa ufisadi. Mazishi yatafanyika 2015, hukohuko Tanzania. Mipango ya mazishi inafanywa na bwana Chadema. Habari ziwafikie wazalendo wote popote walipo. Ukisikia tangazo hili, mjulishe na mwenzako
Mazishi ya CCM Yataliwa makande!... Majonzi makuu ya umaskini mkubwa waliotutwisha.lol! Bujibuji......Ubwabwa utaliwa wapi?
Mazishi ya CCM Yataliwa makande!... Majonzi makuu ya umaskini mkubwa waliotutwisha.
Kwanini ife? Hakuna chama cha upinzani ambacho kimejipanga sawasawa.
Huwezi kuleta mabaadiliko only by criticizing the ones holding power
We are still to see a realistic program from wapinzani that takes into account
our needs, our resources, our allies, our partners, our people na mengine
Kwa sasa sijaona chama kinacho niridhisha. Better the devil we know...
Kila dalili zinaonyesha umaarufu wa CCM unazidi kutokomea. Pamoja na mipesa wanayomwaga kununua Tshirt, kufia na Kanga, wananchi tunazidi kuwakimbia. Walitumia jeshi la Police kuwatisha wananchi kuhudhulia mikutano ya Wapinzani, wapi ndio kwanza wamekoleza moto. Sasa wanakata umeme, kuhujumu mukutano, wamesahau generators zipo kusaidia.
Je CCM ikishindwa (ohh sorry)itakaposhindwa 2015, ni mkoa gani tuuchague kubeba kaburi lake?
CCM ikifa basi Tanzania inakufa, CCM ndio roho ya hii nchi. Bila CCM kila kitu kinazimika. UN itabidi waje waweke serikali yao ili Tanzania ifufuke tena.
Kuhudhuria, wewe ni Mtanzania au ndio wale mnajifundisha Kiswahili mkianza shule?
CCM ikifa basi Tanzania inakufa, CCM ndio roho ya hii nchi. Bila CCM kila kitu kinazimika. UN itabidi waje waweke serikali yao ili Tanzania ifufuke tena.
r.i.p ccmkwanini ife? Hakuna chama cha upinzani ambacho kimejipanga sawasawa.
Huwezi kuleta mabaadiliko only by criticizing the ones holding power
we are still to see a realistic program from wapinzani that takes into account
our needs, our resources, our allies, our partners, our people na mengine
kwa sasa sijaona chama kinacho niridhisha. Better the devil we know...