CCM kuendelea kuwatumia wanafunzi kwenye mikutano yao

CCM kuendelea kuwatumia wanafunzi kwenye mikutano yao

IMG_8842.jpg

Hivi anapogeuka na kuona hiyo nyumba ya mwananchi upande wa pili sijui anajisikiaje? Kuna mambo mengine kwa kweli yanaudhi sana.
 
Hahaha hahaha mkuu ni kweli aisee, sasa wadogo zetu watazidi kupata zero maana watasoma saa ngapi na maccm yanawachukua kwenye mikutano yao? Yanavalisha watoto tshirt za kijana rangi ya iziraeli mtoa roho za watu.[/QUOTE]

Hiyo nayo ni mbinu yao ya kutaka watoto wao waje wawatale wetu. Situka chukau hatua.
 
Huyu muuza nyara aka Weka mbali na Tembo mbona anapenda kugawa fedha sana....anazitoa wapi mpaka anagawa kama pipi?



8.jpg

Hii si strategy mpya kwani ina muda tangu imeanza kutumika. Unapewa usafiri na malipo juu ukihudhuria mkutano wa SISIEMU. Kwa sisi watanzania tulivyo na dhiki, tunaenda kuzilamba hizo noti nyekundu huku tukitambua UKWELI kuwa MAGAMBA wanapumulia kwenye kibuyu.
 
Back
Top Bottom