fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,065
Ni ndoto CCM kutawala milele kama Nape anavyonadi, ni ndoto za mwendawazimu, sijui .
Ndoto za kutawala milele mbona wengi wanaota kwenye vyama vyao? Hebu tuambie Mbowe na Slaa wataachia lini madaraka? Au tuambia Profesa Lipumba na Maalim Seif Wataachia lini madaraka? Au Mbatia Na Augustino Lyatonga Mrema wataachia lini madaraka? Au Mchungaji Mtikila naye lini ataachia madaraka?
Kama ni wendawazimu basi nchi hii vyama vya vimeshikwa na wendawazimu kasoro CCM ambayo inatabia ya viongozi wake wa juu kuachia madaraka na kupisha wengine huko kwingine ni kutawala milele kisingizio wanapendwa!!! Wakiambiwa CCM nayo inapendwa ndio maana haItoki hilo hawataki!Wapendwa na watu ni wao tu!!!!!!!

kWANI WEWE UNAJUA MBOWE NA DR SLAA WAMEANZA KUTAWALAL LINI? NI SAWA NA LIPUMBA NA SEIF! ACCORDING TO YOU?
Ukiniambia lini CCM uenyekiti umegombewa na watu wawili au zaidi, nitafurahi, hebu tukumbushe
Suala sio anapisha au la, ni anapatikanaje??? Nyerere alikaa mpaka akachoka mwenyewe. acha kuhamisha goal post kila mara kama tetea.Cha muhimu unajua ikifika miaka 10 unajua hata kama mheshimiwa Mwenyekiti anapendwa kama asali lazima aondoke apishe wengine huko kwingine ni adumu mwenyekiti forever!
Suala sio anapisha au la, ni anapatikanaje??? Nyerere alikaa mpaka akachoka mwenyewe. acha kuhamisha goal post kila mara kama tetea.