CCM kuanzisha TV na redio zao

CCM kuanzisha TV na redio zao

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,262
Reaction score
18,706
Haya yamesemmwa jana na mkuu mpya wa chama hicho na ameshangaa kwanini hadi Leo CCM haina hata Television miaka 50 baada ya Uhuru.

Nasubiri kununua king'amuzi spesheli kwa ajili ya CCM.

1471076114049.jpg
 
TBC STARTV RADIO FREE NA UHURU FM NI RADIO ZA CHAMA

Ni kama ile station alosema anaanzisha Anne Makinda kule Dodoma, labda lengo ni kuwatengenezea ajira vijana wasiokuwa nazo
 
Mkuu nadhani mada yako inafurahisha ila picha inahudhunisha.
"Mtakula hata nyasi ndege ya Rais lazima inunuliwe
 
Back
Top Bottom