CCM kuandamana nchi nzima iwapo.........,

Emmanuel J. Buyamba

Verified Member
May 24, 2013
1,074
2,000
Ni kupitia Star tv habari usiku huu saa mbili.M/kiti wa kundi la Tanzania kwanza (nje ya bunge) linaloundwa na CCM ndg Matefu kasema wamepanga kuandamana ili kumshinikiza balozi wa Ujerumani nchini kuzikemea taasisi za kijerumani wanazozihisi kwamba zinavuruga mchakato wa katiba mpya nchini.MY TAKE;Kweli nchi hii ni kichwa cha mwendawazimu. Wapinzani wanaandamana dhidi ya serikali,serikali nayo kupitia chama chake inapanga kuandamana badala ya kuchukua hatua.Sijui ile kauli ya watawala kuwa maandamano yanavuruga amani imeishia wapi.Kila la kheri CCM ila mjihadhari na vitu vya ncha kali.
 
palalisote

JF-Expert Member
Aug 4, 2010
8,338
0

nyoooooooo bajeti yenu yenyewe mnategemea wawape halafu mnajitia jeuri
 
mangatara

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
14,550
2,000
Hongeraaaaaaa Matefuuuuuu. Ukipata chance ya kunyonya nyonya mpakaaaaaa. Hii ndo nafasi yako ya kuyaramba hayo manoti kukicha weye umeuchwaaaa. Ati kuandamana, maccm yakiandamana hao wengine watembee kwa mikono.
Mtazuga saana mwaka huu, KATIBA MPYA NI LAZIMA. Haikuwa sera yenu hivyo hamuwezi kuileta
 
Chiu

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
375
250
Ukawa waliambiwa eti interagency inaonyesha watalipuluwa.sijui michepuko watawaambiaje
 
kingukitano

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
1,971
0
Ni kupitia Star tv habari usiku huu saa mbili.M/kiti wa kundi la Tanzania kwanza (nje ya bunge) linaloundwa na CCM ndg Matefu kasema wamepanga kuandamana ili kumshinikiza balozi wa Ujerumani nchini kuzikemea taasisi za kijerumani wanazozihisi kwamba zinavuruga mchakato wa katiba mpya nchini.MY TAKE;Kweli nchi hii ni kichwa cha mwendawazimu. Wapinzani wanaandamana dhidi ya serikali,serikali nayo kupitia chama chake inapanga kuandamana badala ya kuchukua hatua.Sijui ile kauli ya watawala kuwa maandamano yanavuruga amani imeishia wapi.Kila la kheri CCM ila mjihadhari na vitu vya ncha kali.
Vijana wenzangu wa ccm tuepuke kutumiika kipuuzi...kama Matefu ana ushahidi hivi kazi ya serikali kukemea kupitia Membe iko wspi...kwa noni tujidhalilishe kiasi hiki?hakika siasa otaliangamiza taifa langu...kama wajerumani wanachezea amani uetu viongozo wako kimya hadi Matef atangazeaandamano hii mcho yangu iya Tz imeshaangamiaaangamia sitanii
 
Bobuk

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
5,870
1,500
Ni kupitia Star tv habari usiku huu saa mbili.M/kiti wa kundi la Tanzania kwanza (nje ya bunge) linaloundwa na CCM ndg Matefu kasema wamepanga kuandamana ili kumshinikiza balozi wa Ujerumani nchini kuzikemea taasisi za kijerumani wanazozihisi kwamba zinavuruga mchakato wa katiba mpya nchini.MY TAKE;Kweli nchi hii ni kichwa cha mwendawazimu. Wapinzani wanaandamana dhidi ya serikali,serikali nayo kupitia chama chake inapanga kuandamana badala ya kuchukua hatua.Sijui ile kauli ya watawala kuwa maandamano yanavuruga amani imeishia wapi.Kila la kheri CCM ila mjihadhari na vitu vya ncha kali.

Kwanini asindamane kupinga serikali ya Ujerumani kuipatia Tanzania misaada wakati Tanzania inayo rasilimali ya kutosha kujiendesha yenyewe bila kupatiwa misaada.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom