S shengena New Member Joined Dec 12, 2011 Posts 3 Reaction score 0 Jan 24, 2013 #1 Jamani naomba kuuliza. Hivi uwanja wa ccm kirumba mwanza unakuwaje mali ya ccm? Nakumbuka uwanja huo ulijengwa wakati tanzania inaendesha siasa ya chama kimoja. Je baada ya vyama vingi kwa nini ccm kirumba iligeuka mali ya ccm?
Jamani naomba kuuliza. Hivi uwanja wa ccm kirumba mwanza unakuwaje mali ya ccm? Nakumbuka uwanja huo ulijengwa wakati tanzania inaendesha siasa ya chama kimoja. Je baada ya vyama vingi kwa nini ccm kirumba iligeuka mali ya ccm?