CCM, Kipanya Anawachokoza

CCM, Kipanya Anawachokoza

idoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2013
Posts
3,051
Reaction score
1,423
kp28112014.jpg

cc Lizaboni, Chabruma, MSALANI, FaizaFoxy, gsu, mjepo, Simiyu Yetu, T2015CCM et al.
 
Last edited by a moderator:
Kama ingekuwa kweli CCM ingesha anguka kweli, vikatuni vya KIPANYA kwa CCM havikuanza leo.
 
Masudi kipanya hana tofauti na hawa watu mawazo yake yamebinuka.
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    53.1 KB · Views: 239
Ana heri yule atumiaye ukweli wake kuelimisha jamii kuhusu uongo ulioenezwa!!

Ahsante KIPANYA
 
Last edited by a moderator:
Kipanya ana akili mara 100 zaidi ya Lusinde..........asante sana Kipanya kwa kutufikishia ujumbe muruaa
 
Watu wengi tunaogopa kusema ukweli...Tatizo kubwa ni Rais tulienae hana uwezo na karma ya uongoz nyeti km huu ndo maana kila kitu kinaenda ovyo hakuna setting tena ila the government is being ran by difault...kila kitu ni bora liende as long as wanalipa fadhira.....Jarib kuangalia wateuz wake utaona jinsi akili ndogo inavyoongoza akili kubwa....2015 ni mbali sana kwa JK kwani atazid kuboronga na hashutuki kwani ndo makuzi ya uswahili...RICHMOND watu waliachia madaraka lakini yeye ndo alikua muhusika mkuu na alijua IPTL yeye muhusika mkuu tokea akiwa waziri wa nishati mbaya zaid ESCROW imebarikiwa na IKULU yani wakina LOWASSA , PINDA nk kufanya kazi na JK ni km vile kulala na mwathirika wa Ukimwi tegemea kufa siku si zako
 
Back
Top Bottom