CCM, Kipanya Anawachokoza

CCM, Kipanya Anawachokoza

unakubali panya?
altAjeaNizoEG6wg8mPd8Wb9H2Z3TtppocLJJ7ZMWpWeaGi[1].jpg
 
MKUU, chama kinaanguka kwa Katuni

Mimi ni ccm ila kwa jinsi hili suala litakavyoisha ndilo litaamua hatima ya ccm. Angalia hoja za wabunge wa ccm, yaani akili ni zeros. Je nchi itaendeshwa na mbumbu kama mbunge muhammad chomboh wa magomeni kupitia CCM?
 
Back
Top Bottom