CCM kidedea jimbo la Kiembe samaki, yashinda kwa 78%

Wewe Juliana Shenzi hujaenda huko? Haki ya mungu wangetumia hadi tigo yako! Napata wasiwasi kama ndo ulikuwa chadema.
 
Ivi hauoni aibu kujitangaza wewe ni CCM?
...
Ungekua karibu ningekunusa mdomo!
Wenzio wapo CCM kwa maslahi tu, sjui wewe wapata nini mwenzetu!
...
Na hayo matokeo uliyoyataja yapo kinyume nyume!
CCM ni wizi wazoefu, na sjui itakuaje kama ile sheria ya ukataji mikono itapitishwa na kutekelezwa kihakilillah!
Nadhani ungeandikia miguu hapa!

Katika uchaguzi mdogo wa uwakilishi katika jimbo la kiembe samaki lililopo Mkoa wa Mjini Zanzibar, Chama Cha Mapinduzi (CCM) Chama Dume, Chama chenye viongozi wanaotumia vichwa kufikiri na kufanya maamuzi kimeibuka mshindi wa jimbo hilo ambapo mgombea wake Ndugu Mahmoud Thabit Kombo ameibuka mshindi kwa kushinda kwa zaidi ya asilimia 78 ya kura zote.

ushindi huo ni salamu kwa chaguzi zingine zinazoendelea kote nchini kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kiko imara na tuko seriuos on this business. Hakuna majungu, hakuna u-mungu mtu, huku kazi tu maneno huko huko kwenu.
 
Huyu mrembo kikoj.zi anataka kuonyesha bado yupo? Imefikia hatua ya kuleta matokeo ya uchaguzi yenye jumla ya wapiga kura elfu mbili na kitu.Ati 78% ...say the number.
Anyway znz CUF na ccm wana ndoa hakuna cha kusisimua.
Hivi yule mwezako alite mkana mama yake yuko wapi?
 
Asante bibie Juliana kwa kutujuza mapema hiyo habari.
Uendelee kutujuza vivyo hivyo kwenye chaguzi za Madiwani pia.
 
Katika uchaguzi mdogo wa uwakilishi katika jimbo la kiembe samaki lililopo Mkoa wa Mjini Zanzibar, Chama Cha Mapinduzi (CCM) Chama Dume, Chama chenye viongozi wanaotumia vichwa kufikiri na kufanya maamuzi kimeibuka mshindi wa jimbo hilo ambapo mgombea wake Ndugu Mahmoud Thabit Kombo ameibuka mshindi kwa kushinda kwa zaidi ya asilimia 78 ya kura zote.

ushindi huo ni salamu kwa chaguzi zingine zinazoendelea kote nchini kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kiko imara na tuko seriuos on this business. Hakuna majungu, hakuna u-mungu mtu, huku kazi tu maneno huko huko kwenu.
We kadada huna lolote.salamu gani hizo wakati siasa za Zanzibar zinajulikana?Zanzibar mahali pa CUF ni CUF na mahali pa ccm ni ccm hata ukiweka jiwe linapata ushindi mnono.we hujui?
 
Mgombea wa Chama cha Mapinduzi katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Kiembesamaki Mhe. Mahmoud Thabit Kombo ameibuka Kidedea kwa ushindi alioupata katika uchaguzi huo mdogo wa Jimbo hilo baada ya kukaa wazi kwa muda mrefu kutokana na kutenguliwa kwa aliyekuwa Mwakilishi wa jimbo hilo Mhe. Mansoor Yussuf Himid.

Akitangaza matokea hayo ya Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kiembesamaki yalioshirikisha Vyama Sita vya Siasa vilivyosimamisha wagombea wake.

Msimamizi wa Uchaguzi Ndg. Suluhu akitoa matokeo hayo Mgombea wa Chama cha Mapinduzi Mhe. Mahmoud Thabit Kombo ameshinda kwa Kura 1856, sawa na asilimia 75.1 na kutangazwa mshindi wa Uchanguzi huo Mdogo wa jimbo hilo kuchukuwa nafasi ilioachwa wazi na Mhe. Mansoor Yussuf Himid, aliyevuliwa Uwanachama na CCM na nafasi hiyo kuwa wazi kwa muda hadi kufanyika kwa uchaguzi mdogo leo na kumpata mrithi wa kiti hicho.

Mgombea wa Chama cha CUF Mhe. Abdulmalik Juma Jecha, amepata kura 445, sawa na asilimia 18.3, Mgombea wa Chama cha ADC Mhe. Amani Ismail Rashid amepata kura 84, sawa na asilimia 3.5, Chama hichi ni kipya kimeungwa na Viongozi walioondoka CUF, na hii ni mara ya pili kushiriki Uchanguza tangu kuanzishwa. Kilishiriki uchaguzi wa kwanza kisiwani Pemba katika jimbo la Chambani,Pemba.

Nae Mgombea wa Chama cha CHADEMA Mhe. Hashim Juma Issa,amepata kura 34 sawa na asilimia 1.5, katika uchaguzi huo mdogo wa jimbo la kiembesamaki.Mgombea wa TADEA Ali Mohammed Ali (Mbongo) amepata kura 6 sawa na asilimia 0.3. wakati Mgombea wa Chama cha SAU Mhe. Ramadhani Simai Mwita amepata kura 1 sawa na asilimia 0.1

Kwa matokeo hayo Tume ya Uchaguzi Zanzibar imemtangaza Mgombea wa Chama cha Mapinduzi Mhe. Mahmoud Thabit Kombo kuwa ni Mshindi wa Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Kiembesamaki na anakuwa Mwakilishi halali baada ya ushindi huo.
 
Nakumbuka Ubunge wa jimbo la Arumeru mashariki
Nassar kura 32,977 wa cdm
wa ccm kura 26,757
 
Katika uchaguzi mdogo wa uwakilishi katika jimbo la kiembe samaki lililopo Mkoa wa Mjini Zanzibar, Chama Cha Mapinduzi (CCM) Chama Dume, Chama chenye viongozi wanaotumia vichwa kufikiri na kufanya maamuzi kimeibuka mshindi wa jimbo hilo ambapo mgombea wake Ndugu Mahmoud Thabit Kombo ameibuka mshindi kwa kushinda kwa zaidi ya asilimia 78 ya kura zote.

ushindi huo ni salamu kwa chaguzi zingine zinazoendelea kote nchini kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kiko imara na tuko seriuos on this business. Hakuna majungu, hakuna u-mungu mtu, huku kazi tu maneno huko huko kwenu.
Sisi tukoa Tanganyika haituhusu!!!! Tunajua fika hatuna business na Zenj!!! Tuongolee Tanganyika hata kama hamuitaki!!!! Watanzania wanataka serikali tatu, mengine ni taarifa ya habari!!!
 
Mgombea wa Chama cha Mapinduzi katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Kiembesamaki Mhe. Mahmoud Thabit Kombo ameibuka Kidedea kwa ushindi alioupata katika uchaguzi huo mdogo wa Jimbo hilo baada ya kukaa wazi kwa muda mrefu kutokana na kutenguliwa kwa aliyekuwa Mwakilishi wa jimbo hilo Mhe. Mansoor Yussuf Himid.

Akitangaza matokea hayo ya Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kiembesamaki yalioshirikisha Vyama Sita vya Siasa vilivyosimamisha wagombea wake.

Msimamizi wa Uchaguzi Ndg. Suluhu akitoa matokeo hayo Mgombea wa Chama cha Mapinduzi Mhe. Mahmoud Thabit Kombo ameshinda kwa Kura 1856, sawa na asilimia 75.1 na kutangazwa mshindi wa Uchanguzi huo Mdogo wa jimbo hilo kuchukuwa nafasi ilioachwa wazi na Mhe. Mansoor Yussuf Himid, aliyevuliwa Uwanachama na CCM na nafasi hiyo kuwa wazi kwa muda hadi kufanyika kwa uchaguzi mdogo leo na kumpata mrithi wa kiti hicho.

Mgombea wa Chama cha CUF Mhe. Abdulmalik Juma Jecha, amepata kura 445, sawa na asilimia 18.3, Mgombea wa Chama cha ADC Mhe. Amani Ismail Rashid amepata kura 84, sawa na asilimia 3.5, Chama hichi ni kipya kimeungwa na Viongozi walioondoka CUF, na hii ni mara ya pili kushiriki Uchanguza tangu kuanzishwa. Kilishiriki uchaguzi wa kwanza kisiwani Pemba katika jimbo la Chambani,Pemba.

Nae Mgombea wa Chama cha CHADEMA Mhe. Hashim Juma Issa,amepata kura 34 sawa na asilimia 1.5, katika uchaguzi huo mdogo wa jimbo la kiembesamaki.Mgombea wa TADEA Ali Mohammed Ali (Mbongo) amepata kura 6 sawa na asilimia 0.3. wakati Mgombea wa Chama cha SAU Mhe. Ramadhani Simai Mwita amepata kura 1 sawa na asilimia 0.1

Kwa matokeo hayo Tume ya Uchaguzi Zanzibar imemtangaza Mgombea wa Chama cha Mapinduzi Mhe. Mahmoud Thabit Kombo kuwa ni Mshindi wa Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Kiembesamaki na anakuwa Mwakilishi halali baada ya ushindi huo.

Huu ni uchaguzi wa Ubunge au udiwani!!!! Wapiga kura wangapi hao? Au wengi walisusia uchaguzi? Maaabu.
 
Back
Top Bottom