CCM kidedea jimbo la Kiembe samaki, yashinda kwa 78%

CCM kidedea jimbo la Kiembe samaki, yashinda kwa 78%

Ivi hauoni aibu kujitangaza wewe ni CCM?
...
Ungekua karibu ningekunusa mdomo!
Wenzio wapo CCM kwa maslahi tu, sjui wewe wapata nini mwenzetu!
...
Na hayo matokeo uliyoyataja yapo kinyume nyume!
CCM ni wizi wazoefu, na sjui itakuaje kama ile sheria ya ukataji mikono itapitishwa na kutekelezwa kihakilillah!
Nadhani ungeandikia miguu hapa!
On the contrary, nafikiri CDM ndio wanapaswa kuona aibu. Kila nikifikiri huyu Shonza alivyopenya hadi kuwa makamu mwenyekiti BAVICHA, jibu pekee ninalopata ni kwamba CDM inatakiwa kuongeza umakini. Na usisahau, watu wa aina ya shonza bado wapo wengi sana ndani ya CDM.
 
Katika uchaguzi mdogo wa uwakilishi katika jimbo la kiembe samaki lililopo Mkoa wa Mjini Zanzibar, Chama Cha Mapinduzi (CCM) Chama Dume, Chama chenye viongozi wanaotumia vichwa kufikiri na kufanya maamuzi kimeibuka mshindi wa jimbo hilo ambapo mgombea wake Ndugu Mahmoud Thabit Kombo ameibuka mshindi kwa kushinda kwa zaidi ya asilimia 78 ya kura zote.

ushindi huo ni salamu kwa chaguzi zingine zinazoendelea kote nchini kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kiko imara na tuko seriuos on this business. Hakuna majungu, hakuna u-mungu mtu, huku kazi tu maneno huko huko kwenu.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...pishwa-kuwa-mwakilishi-mpya-kiembesamaki.html

kamilisha furaha yako
 
Kumbe shonza bado yupo.......haya tunaendelea kuangalia hatima yako ndani ya CCM. Wapo wengi waliotumiwa kisah jukumu lao lilipomalizika wakatupwa kwa dust bin.
 
Back
Top Bottom