Nime note, usiku huu kati ya saa 8 usiku wa manane na saa 10 alfajiri, umeanzisha mfululizo wa 4 kuhusu CCM,
na ikatokea by coincidence tuu, threads zote 4 ziko jukwaa moja zinafuatana na wakati nilipozikuta, zote nne mchangiaji wa mwisho alikuwa ni Nicholas!, what a coincidence?!.
Naomba kutoa tena ushauri wa bure kwako na kwa wafuasi wengine wengi wa mabadiliko ya kweli, adui mkubwa wa taifa hili sio CCM!, nisome hapa kuhusu adui ni nani haswa,
Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM!
elekeza mashambulizi kwa kumlenga adui, mkikalia CCM hivi, CCM vile kila kukicha, you might miss the real target!, na by the time mnashtuka that you might not hit the bull, it might be too late!, you can just do too little too late!
Endeleeni, November, 2015, tutakutania humu humu jf na kukumbushana!.
Pasco.
NB. Pasco wa jf, sio mwanachama wa chama chochote cha siasa!.
Kwa wanaodhania mimi ni CCM, kanisomeni hapa,
CCM Imechokwa!. na hapa, CCM imechokwa mpaka basi!
Wanaonidhania mimi ni Chadema, mimi ndiye wa kwanza humu kusema
CHADEMA Haijajipanga! -
Wanaodhania mimi ni CUF, nisomeni humu,
Kifo cha CUF hichoo..chaja! Upinzani kubaki CHADEMA pekee?
Pale CCM inapofanya mazuri, huwa naipongeza!
Miongoni Mwa Mazuri ya CCM!.
Pale Chadema inapofanya mazuri pia huwa naipongeza!
Pongezi Chadema, 2015, Ikulu Njia Nyeupe! ...