CCM katika ubora wao

Ndiyo kazi waliyobaki nayo. Kujiandaa kuteka na kuumiza watu. Gree guards wanaumiza watu sana utafikiri kampeni ikifika wao ndiyo wanakuwa juu ya sheria za nchi.

Mwaka huu wajiandae kuumia sana kwa sababu ujinga wowote hautavumiliwa.

Wakti wao wanajiandaa kuiba kura na kuua raia, wenzao tunajiandaa kulinda amani, raia na kura zetu.

Safari hii hakuna hakuna mpira wa kuchezea nusu uwanja!. Hili walielewe.
 

Kichaa hakabidhiwi Rungu. Rungu/Silaha hukabidhiwa mtu Timamu.

Cpatii picha wangekuwa Green Guard hapo.
 
Kikundi cha wahuni green guard jeshi la polisi liko wapi limehangaika kule tanga kwenye mapango ya Amboni kutafuta magaidi wakati wanajulikana ndo hawa green guard.
 


Nitashangaa hatua zisipochukuliwa maana kwa picha hii bila shaka ushahidi umekamilika
 
Si watoto afya mgogoro wamewatoa kafara ..

Serious? OOooh lord of mercy! wanasoma hawa kweli? Ndio mana Komba alisema ataingia msituni, sa nkajiuliza, pekeake ataweza? Nimesha connect dots! wapo wengi kumbe
 
Serious? OOooh lord of mercy! wanasoma hawa kweli? Ndio mana Komba alisema ataingia msituni, sa nkajiuliza, pekeake ataweza? Nimesha connect dots! wapo wengi kumbe

Ndiyo maana yake kuna mazuzu wapo pamoja na hawa wafilist
 
Jana walikuwa na mkutano hapa Musoma yaani ilikuwa ni kituko, ni vitoto vya shule tu na akinamama wale wapenda kanga na wazee wale wapenda kuomba ndio walihudhuria. Wasira nae alikuwa ahutubie akaingia mitini baada ya kuona watu hakuna kwenye mkutano. CCM imekwisha wandugu.
 


Nitashangaa hatua zisipochukuliwa maana kwa picha hii bila shaka ushahidi umekamilika


Ccm inatakiwa washitakiwe kwenye jumuiya za kimataifa. Wanawatoa watoto wetu mashuleni na kwenda kuwafundisha ugaidi!. Jamani ccm kila mpenda haki na mpenda amani akikatae. Hatuwezi kuendelea kushirikiana na magaidi sisi.
 
hii inatisha sana, ukizngatia katiba ya ccm haiko wazi kuhusu greenguards.

kwaiyo hili ni batili kama sio ugaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…