Hima Hima wana CCM sasa ni wakati wa kuwa wagumu ili chama kibadilike munekano wake miongoni mwa wanajamii. Kuzorota kwa CCM ni anguko la wazee, vijana na watoto wenye utashi na upendo wa dhati kwa Tanzania.
Nawashangaa wana CCm wenzangu wa mkoa wa Mtwara kubadilika na upepo wa msimu ambao mbeleni MTAJUTA, Chadema inataka kuwatumia ili waweze kutimiza kura TU.
Chonde chonde Wamakua, Wayao, Wamakonde na Wamwera kwa nini mnatutesa nyie ni CCM damu damu tangu enzi za TANU mliitikia vyema sera za Ujamaa na Kujitegemea, mkawa mfano wa VIJIJI VYA UJAMAA, leo hii Dr. Slaa & CO mnawapa nafasi hadi vijijini kwenu kufungua matawi.
Mkuchika, Ghasia, Mama Kasembe, Murji, Mkapa wa Nanyumbu, Njwayo na Bwanausi fanyeni KIKAO CHA DHARULA tuepuke FEDHEHA ya leo Chadema kuingia hadi maeneo ya jikoni!!!!
Mafilili, kumbe wewe kilaza namna hii?
Hivi humu mtandaoni kuna idadi kubwa ya hao wamtwara hadi unaandika ugoro wako humu?.
Kama kweli unawapa usahauri, wafate huko huko na uwamwagie sera zako, si kuhubiri pumba humu ndani.
The unseen is illustrated by the seen
unamaliza form 4
arafu unakwenda kusoma
english course
kwa miez 3 kweli
inawezekana?
T2015CDM
Wamebakiwa na mtaji wa Udini ambao nao unaelekea kuwa na masharti magumu hata kwao wenyewe.mmechelewa mtaji wenu {ujinga] tumeufilisi mtakoma mwaka huu. Mlitegemea wananchi waendelee kuwa wajinga ili mtawale milele sasa elimu ya uraia umeenea mtaji wenu nini? au hamna mbadala?
Pole sana ustaadhi Zoba!Usiwe na hofu kijana, hao Mtwara wanaeda kutazama show za bure. Ukweli ni kwenye kura, na bado muda wake.
Usiwe na hofu kijana, hao Mtwara wanaeda kutazama show za bure. Ukweli ni kwenye kura, na bado muda wake.
Huyu Mafili si yuko kwenye payroll ya Nape kama vile Ritz na Rejao. Hawa hawana kazi nyingine mbali ya kushinda JF wakivizia post zinazoisema CCM na serikali yake ili wajaribu kupoza makali.
Waliishakuja wengi hapa lakini waliishia kuachia ngazi, Mafili naye si mbali atachoka. Hivi siku hizi Faiza Foxy yuko wapi?
Tiba
Ucjipe moyo Zomba kwani cdm hawana ni kuwapa raia elimu tu na kuelezea jinsi magamba wamavyotuibia. kwa hapo unafikiria kwenye kura atachaguliwa nani?
Hima Hima wana CCM sasa ni wakati wa kuwa wagumu ili chama kibadilike muonekano wake miongoni mwa wanajamii. Kuzorota kwa CCM ni anguko la wazee, vijana na watoto wenye utashi na upendo wa dhati kwa Tanzania.
Nawashangaa wana CCM wenzangu wa mkoa wa Mtwara kubadilika na upepo wa msimu ambao mbeleni MTAJUTA, CHADEMA inataka kuwatumia ili waweze kutimiza kura TU.
Chonde chonde Wamakua, Wayao, Wamakonde na Wamwera kwa nini mnatutesa nyie ni CCM damu damu tangu enzi za TANU mliitikia vyema sera za Ujamaa na Kujitegemea, mkawa mfano wa VIJIJI VYA UJAMAA, leo hii Dr. Slaa & CO mnawapa nafasi hadi vijijini kwenu kufungua matawi.
Mkuchika, Ghasia, Mama Kasembe, Murji, Mkapa wa Nanyumbu, Njwayo na Bwanausi fanyeni KIKAO CHA DHARULA tuepuke FEDHEHA ya leo CHADEMA kuingia hadi maeneo ya jikoni!!!!