CCM kaeni chonjo saa mbaya

Hujaona IGP Mangu yuko China kujifunza mbinu za kudhibiti wapinzani kwa mkono wa chuma!

Hii mijizi ya CCM ina vurugu Sana
 
Mkuu Mwiba, hiyo "mentality" ya kwamba wao wamebeba "matofali" basi nyie mtabeba "nondo" haina siha njema sana kwa Taifa! Mnakusudia kuchukua "Dola" na mnaahidi kusimamia "Utawala wa sheria", hivyo nashauri mtumie zaidi wanasheria wenu nguli kupambana na huo uharamia wa CCM mahakamani! Maendeleo ya kidigitali yanawawezesha kupiga picha na hata kurekodi matukio yote ya kihalifu kama mfano wa picha uliyoibandika! Pale mahakama itakapoonekana kuwabeba hao CCM, basi mtakapochukua hiyo "Dola" itawapa ari zaidi ya kufumua mfumo mzima wa kimahakama ili kuhakikisha zinatoa haki sawa kwa wote bila kuangalia cheo au uwezo wa mtu! Tafakari
 
mmmh hapo ndo nachoka kabisa....hivi tukio ili polisi hawakupata taarifa kabisa....mimi siwa nchi hii labda.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…