CCM jifunzeni Kwa CHADEMA

CCM jifunzeni Kwa CHADEMA

Nadhani hujui maana ya haki! Amepewa tuhuma zake kwa maandishi na siku 14 za kuzijibu!
Mkuu, mbona Zitto huyo huyo alipewa muda maalum wa kuwasilisha hoja yake bungeni. Alikuwa na fursa ya kutaja hayo majina lakini hakufanya hivyo, na isitoshe Zitto alikuwa ni mmoja wa watu walioenda huko Uswiss kufuatilia hayo mabilioni. Mbona hakuwatonya wenzake? Ina maana hiintabia ya kutotonya imemkolea kiasi hicho?
 
Ccm hii hii iliyoamua kuwaacha magamba waendelee kutamba ndani ya chama in the name of "umoja ni ushindi" au?
wewe huijui ccm!
Hakika umoja ni ushindi na utengano ni kushindwa
 
the whole thing reminds of the line in 'the good, the bad and the ugly'.

"if you want to shoot, shoot don't talk"
 
Mkuu, wewe ndo mzito. Waziro wapo cdm. Huku kwetu hatuna vichwa maji kama chako

Nakuhakishia kuwa mimi sina kichwa kama cha William Malecela, Lusinde, Lukuvi, Muhongo, Mulugo and the like!
Nipo vizuri Mkuu!
 
Mkuu, mbona Zitto huyo huyo alipewa muda maalum wa kuwasilisha hoja yake bungeni. Alikuwa na fursa ya kutaja hayo majina lakini hakufanya hivyo, na isitoshe Zitto alikuwa ni mmoja wa watu walioenda huko Uswiss kufuatilia hayo mabilioni. Mbona hakuwatonya wenzake? Ina maana hiintabia ya kutotonya imemkolea kiasi hicho?

Mbona mlikuwa mnamtetea tuliposema ni mnafiki? Mbona aipojitetea kuhusu kutonya mlimsapoti? Au ndio mkishatumia kondom hamtaki hata kuiona!
 
Daima, ukweli hujitenga na uongo! Ukiwa mnafiki wakati wa ujana wako, ukizeeka utakuwa mchawi!
 
Bila shaka , yule mwanasheria nguli MH ALBERT MSANDO kesho atatinga tena SERENA HOTEL kulitolea ufafanuzi jambo hili.
 
WanaJF,

Siungi Mkono moja kwa moja alichoongea Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Mh.Lukuvi Bungeni jioni hii.

Kwanza,Wametoa tuhuma hizi wakati Zitto akiwa hayupo ndani ya Bunge

Pili,Hatuwezi kumuhukumu Zitto moja kwa moja bila kumpa fursa ya kumsikiliza

Napinga tabia hii ya wanaCCM kumdhalilisha Zitto Bungeni na kumnyima fursa ya kujitetea na wengine kuanzisha thread humu.

Tatu,Ni jambo la kusitisha kuwa Chama tawala kina viongozi na makada wanaoweza kuminya haki wazi wazi hasa pale wanapoona kuwa maslahi ya viongozi na wanachama wao yanahatarishwa.Mh.Zitto anayo majina na sio busara kumshambulia kama alivyofanyiwa ili tu kuwanusuru wanasiasa na makada wa CCM waliolimbikiza fedha nje

Nne,Naomba Wanachama na viongozi wa CCM,Wabunge na Viongozi wa Bunge waige mfano bora wa CHADEMA kwa kumpa nafasi ya kujitetea.Natural justice ni jambo la msingi.Tuimarishe misingi ya uwazi katika suala linalohusu maslahi ya nchi.

Namshauri pia Mh.Zitto aweka wazi suala hili hasa suala la kutaja majina ya wamiliki na kama hawezi anaweza kumpatia majina haya Mhe.Lema ayataje.

Kama task Force ya Bunge iliweza kuvujisha majina ya waliochunguzwa,ni kitu gani kinamshinda yeye kuvujisha majina kwa Lema ambaye yupo tayari kutaja bila woga?

Tumpe nafasi badala ya kumzomea na kumshutumu jamani.

You have spoken my mind. Yes, natural justice is the key.
 
Amehojiwa na tume na amesema hana hata jina mmoja wala akaunti anayoijua, hujaelewa nini hapo.
 
Back
Top Bottom