CCM ITUMIE BUSARA ...VINGINEVYO! Kwishaaa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM ITUMIE BUSARA ...VINGINEVYO! Kwishaaa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mkulima wa Kuku, Jun 3, 2012.

 1. Mkulima wa Kuku

  Mkulima wa Kuku JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,259
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Nimesoma hoja za viongozi kadhaa wa CCM kujibu upinzani-hasa CDM kuwa zinalenga kuchochea uhalifu au kusababisha mpasuko wa taifa ili wao waendelee kutawala. Mf. Beno Malisa leo huko Dodoma kuchochea vijana wafanye vurugu, angekuwa kiongozi wa upinzzani saa hizi angeshahojiwa; JK anaposema sasa Arusha kuna amani kuliko miaka 2 ilopita alitaka wasikilizaji wake waelewe nini? Akijibiwa atakuwa na wa kumlaumu?

  Kuna mifano mingi ya viongozi wa CCM wamenukuliwa wakitamka mambo yawezayo kuchochea uasi kwa manufaa ya lakini wakihatarisha usalama wa taifa.
  Nawasilisha
   
 2. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Comrade hata mgonjwa anapofikia hatua za mwisho kabisa za kuendelea kuwa hai,hutapatapa sana na hiki ndicho kilicho wakuta ccm kwa wakati huu
   
 3. WILLY GAMBA

  WILLY GAMBA JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 210
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  CCM ni Kama mgonjwa mahututi,hata akijamba it count as a positive response
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Jun 3, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,321
  Likes Received: 22,123
  Trophy Points: 280
  "The hand writing on the wall" (or "the handwriting on the wall" or "the writing is on the wall" or "Mene Mene"), an idiom, is a portent of doom or misfortune. It originates from the Biblical book of Daniel chapter 5 in which the fingers of a supernatural hand write a mysterious message in the presence ofBelshazzar, king of Babylon, who is meanwhile drinking at a major feast. It is revealed by Daniel that the writing foretells the demise of the Babylonian Empire and the story concludes with the Persians capturing Babylon. The phrase "the writing is on the wall" is now a popular idiom for "something bad is about to happen.
   
 5. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #5
  Jun 3, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Ccm hutashinda Arusha milele
   
Loading...