kweli lakini naamini hata mtu muoga kuna siku ataamka. nsomba uisikilize nyimbo ya " coward of the county" ya kenn rogers utaelewa ninachomaanisha.
Hata hizo nchi unazozisifia kwamba sio waoga, walianza taratibu, na kuna vitu vilipelekea wakafikia hiyo hatua.
Naamini hata hapa kwetu kama hivyo vitu viliyopelekea watu wakapoteza uoga vikiendelea, woga utaisha na usishangae yakatokea kama yanayoendelea mataifa mengine.
Lakini kwanini uoga uangaliwe kwenye eneo moja tu la kupambana hasa kupigana na polisi au vyombo vya dola? CCM inaweza kutolewa madarakani kwa njia nyingi tu bila hata kupambana na polisi kwa mabavu.
Kabisa unaamini CCM inaweza kuondolewa madarakani kupitia sanduku la kura?
N taifa gan lenye ustawi ambalo raia wake wanaidindia serikali???Baadhi ya watu, nikiwemo mimi, tumekuwa tukiamini kuwa mtaji mkubwa wa CCM katika ushindani wa kisiasa nchini ni ujinga wa wananchi.
Kwamba, kuna sehemu kubwa ya wananchi ambao ni wajinga ama kwa kutokutaka au kupenda kufuatilia mambo vizuri au kwa kuwa na uwezo mdogo wa kuchanganua mambo na hivyo kupelekea kurubuniwa na CCM pindi msimu wa uchaguzi unapokaribia ili wakipe kura chama hicho.
Tumekuwa tukiiamini sana nadharia hiyo kwa sababu tunaamini kuwa ni vigumu sana kwa mtu na akili zake timamu kuendelea kuiunga mkono CCM licha ya uborongaji wake.
Lakini, mimi binafsi nadhani mtaji wa kisiasa wa CCM si ujinga peke yake. Naamini pia uoga wa Watanzania nao ni bonge la mtaji kwao.
Sisi Watanzania ni waoga sana. Tunaogopa mno dola. Tukisikia tu polisi au jeshi, basi tunaanza kutetemeka.
Nyakati zingine huwa nikiangalia jinsi ambavyo watu wa mataifa mengine wanavyopambana na polisi huwa nabaki mdomo wazi.
Unakuta waandamanaji wanazipiga na polisi katikati ya barabara. Tena hawaogopi kabisa. Sasa mambo kama hayo hapa kwetu sidhani kama yanaweza kutokea. Na ndo maana huwa tukitishwa kidogo tu tunaogopa.
Hatuna kabisa ujasiri wa kuidindia serikali. Hatuna ujasiri wa kupigana na ma askari polisi kama wafanyavyo watu wa mataifa mengine.
Uoga wetu huu ndo unanifanya niamini kuwa CCM inaweza kutawala nchi hata kwa zaidi ya karne nzima.
Je, uoga tulionao nao ni sehemu ya ndivyo tulivyo ama?
Kwa hyo unasemaje??Baadhi ya watu, nikiwemo mimi, tumekuwa tukiamini kuwa mtaji mkubwa wa CCM katika ushindani wa kisiasa nchini ni ujinga wa wananchi.
Kwamba, kuna sehemu kubwa ya wananchi ambao ni wajinga ama kwa kutokutaka au kupenda kufuatilia mambo vizuri au kwa kuwa na uwezo mdogo wa kuchanganua mambo na hivyo kupelekea kurubuniwa na CCM pindi msimu wa uchaguzi unapokaribia ili wakipe kura chama hicho.
Tumekuwa tukiiamini sana nadharia hiyo kwa sababu tunaamini kuwa ni vigumu sana kwa mtu na akili zake timamu kuendelea kuiunga mkono CCM licha ya uborongaji wake.
Lakini, mimi binafsi nadhani mtaji wa kisiasa wa CCM si ujinga peke yake. Naamini pia uoga wa Watanzania nao ni bonge la mtaji kwao.
Sisi Watanzania ni waoga sana. Tunaogopa mno dola. Tukisikia tu polisi au jeshi, basi tunaanza kutetemeka.
Nyakati zingine huwa nikiangalia jinsi ambavyo watu wa mataifa mengine wanavyopambana na polisi huwa nabaki mdomo wazi.
Unakuta waandamanaji wanazipiga na polisi katikati ya barabara. Tena hawaogopi kabisa. Sasa mambo kama hayo hapa kwetu sidhani kama yanaweza kutokea. Na ndo maana huwa tukitishwa kidogo tu tunaogopa.
Hatuna kabisa ujasiri wa kuidindia serikali. Hatuna ujasiri wa kupigana na ma askari polisi kama wafanyavyo watu wa mataifa mengine.
Uoga wetu huu ndo unanifanya niamini kuwa CCM inaweza kutawala nchi hata kwa zaidi ya karne nzima.
Je, uoga tulionao nao ni sehemu ya ndivyo tulivyo ama?
Tuliogopa uniform, jogging za mijini na sarakasi za bichiKwa mara ya kwanza naunga mkono hoja yako kwa 100%. Woga wetu ndio mateso yetu, tungemdindia na UKUTA mwaka juzi angekuwa anatuheshimu leo.
Ndiyo, polisi wanapiga kura.Pale wanapowasimamia wana CCM kubeba masanduku ya kura na kujaza makura yao feki.Pale wanapowakamata mawakala wa vyama vya upinzani muda mfupi kabla uchaguzi.Hayo ni kwa uchache tu,uchafu wao ni mwingi.Haiwezekani ukaandika,ukamaliza.Kwanini unataka kupigana na Polisi?
Polisi wanapiga kura?
Tatizo lako lipo ktk box la kura
Wapo wanaoipigia kura CCM na ni wengi.
Huwezi kushinda uchaguzi kwa kupigana na Polisi.
Miafrika ndivyo tulivyo by Nyani NgabuBaadhi ya watu, nikiwemo mimi, tumekuwa tukiamini kuwa mtaji mkubwa wa CCM katika ushindani wa kisiasa nchini ni ujinga wa wananchi.
Kwamba, kuna sehemu kubwa ya wananchi ambao ni wajinga ama kwa kutokutaka au kupenda kufuatilia mambo vizuri au kwa kuwa na uwezo mdogo wa kuchanganua mambo na hivyo kupelekea kurubuniwa na CCM pindi msimu wa uchaguzi unapokaribia ili wakipe kura chama hicho.
Tumekuwa tukiiamini sana nadharia hiyo kwa sababu tunaamini kuwa ni vigumu sana kwa mtu na akili zake timamu kuendelea kuiunga mkono CCM licha ya uborongaji wake.
Lakini, mimi binafsi nadhani mtaji wa kisiasa wa CCM si ujinga peke yake. Naamini pia uoga wa Watanzania nao ni bonge la mtaji kwao.
Sisi Watanzania ni waoga sana. Tunaogopa mno dola. Tukisikia tu polisi au jeshi, basi tunaanza kutetemeka.
Nyakati zingine huwa nikiangalia jinsi ambavyo watu wa mataifa mengine wanavyopambana na polisi huwa nabaki mdomo wazi.
Unakuta waandamanaji wanazipiga na polisi katikati ya barabara. Tena hawaogopi kabisa. Sasa mambo kama hayo hapa kwetu sidhani kama yanaweza kutokea. Na ndo maana huwa tukitishwa kidogo tu tunaogopa.
Hatuna kabisa ujasiri wa kuidindia serikali. Hatuna ujasiri wa kupigana na ma askari polisi kama wafanyavyo watu wa mataifa mengine.
Uoga wetu huu ndo unanifanya niamini kuwa CCM inaweza kutawala nchi hata kwa zaidi ya karne nzima.
Je, uoga tulionao nao ni sehemu ya ndivyo tulivyo ama?
[HASHTAG]#revolution[/HASHTAG] Ni mustKwa hyo unasemaje??
Tupigane na askar,jeshi???
Yan unataka mapinduz au???
Ujinga mmoja tu umeona wewe huangalii ujinga mwingine kama vyama vyenyewe kutokua na msimamo wa yale wanayopigania, na kufarakana wao kwa wao na kutimuana kwa tofauti ya kimsimamo.hiyo utasemaje kama sio ujinga kwa upande wa mmoja.Baadhi ya watu, nikiwemo mimi, tumekuwa tukiamini kuwa mtaji mkubwa wa CCM katika ushindani wa kisiasa nchini ni ujinga wa wananchi.
Kwamba, kuna sehemu kubwa ya wananchi ambao ni wajinga ama kwa kutokutaka au kupenda kufuatilia mambo vizuri au kwa kuwa na uwezo mdogo wa kuchanganua mambo na hivyo kupelekea kurubuniwa na CCM pindi msimu wa uchaguzi unapokaribia ili wakipe kura chama hicho.
Tumekuwa tukiiamini sana nadharia hiyo kwa sababu tunaamini kuwa ni vigumu sana kwa mtu na akili zake timamu kuendelea kuiunga mkono CCM licha ya uborongaji wake.
Lakini, mimi binafsi nadhani mtaji wa kisiasa wa CCM si ujinga peke yake. Naamini pia uoga wa Watanzania nao ni bonge la mtaji kwao.
Sisi Watanzania ni waoga sana. Tunaogopa mno dola. Tukisikia tu polisi au jeshi, basi tunaanza kutetemeka.
Nyakati zingine huwa nikiangalia jinsi ambavyo watu wa mataifa mengine wanavyopambana na polisi huwa nabaki mdomo wazi.
Unakuta waandamanaji wanazipiga na polisi katikati ya barabara. Tena hawaogopi kabisa. Sasa mambo kama hayo hapa kwetu sidhani kama yanaweza kutokea. Na ndo maana huwa tukitishwa kidogo tu tunaogopa.
Hatuna kabisa ujasiri wa kuidindia serikali. Hatuna ujasiri wa kupigana na ma askari polisi kama wafanyavyo watu wa mataifa mengine.
Uoga wetu huu ndo unanifanya niamini kuwa CCM inaweza kutawala nchi hata kwa zaidi ya karne nzima.
Je, uoga tulionao nao ni sehemu ya ndivyo tulivyo ama?
Baadhi ya watu, nikiwemo mimi, tumekuwa tukiamini kuwa mtaji mkubwa wa CCM katika ushindani wa kisiasa nchini ni ujinga wa wananchi.
Kwamba, kuna sehemu kubwa ya wananchi ambao ni wajinga ama kwa kutokutaka au kupenda kufuatilia mambo vizuri au kwa kuwa na uwezo mdogo wa kuchanganua mambo na hivyo kupelekea kurubuniwa na CCM pindi msimu wa uchaguzi unapokaribia ili wakipe kura chama hicho.
Tumekuwa tukiiamini sana nadharia hiyo kwa sababu tunaamini kuwa ni vigumu sana kwa mtu na akili zake timamu kuendelea kuiunga mkono CCM licha ya uborongaji wake.
Lakini, mimi binafsi nadhani mtaji wa kisiasa wa CCM si ujinga peke yake. Naamini pia uoga wa Watanzania nao ni bonge la mtaji kwao.
Sisi Watanzania ni waoga sana. Tunaogopa mno dola. Tukisikia tu polisi au jeshi, basi tunaanza kutetemeka.
Nyakati zingine huwa nikiangalia jinsi ambavyo watu wa mataifa mengine wanavyopambana na polisi huwa nabaki mdomo wazi.
Unakuta waandamanaji wanazipiga na polisi katikati ya barabara. Tena hawaogopi kabisa. Sasa mambo kama hayo hapa kwetu sidhani kama yanaweza kutokea. Na ndo maana huwa tukitishwa kidogo tu tunaogopa.
Hatuna kabisa ujasiri wa kuidindia serikali. Hatuna ujasiri wa kupigana na ma askari polisi kama wafanyavyo watu wa mataifa mengine.
Uoga wetu huu ndo unanifanya niamini kuwa CCM inaweza kutawala nchi hata kwa zaidi ya karne nzima.
Je, uoga tulionao nao ni sehemu ya ndivyo tulivyo ama?
Ukiangalia hii video utagundua police walikuwa wamesimama ,hapa bongo Hao wangechezea mitama, virungu na risasi juu za moto . Kiufupi Ccm inalindwa na Jeshi la Tanzania kwa ujumla labda Jeshi liipindue Ccm lakini sio wananchi labda itokee miujiza lakini hakuna chama cha kukitoa Ccm madarakani.Cheki Korea huko uone jinsi raia wasivyo na uoga.
Lazima awe muoga, yote yanasababishwa na vyombo vya usalama havipo kulinda Haki za wananchi lipo kulinda maslahi yabaadhi ya viongoz wa kisiasa . Km Jeshi lisingeegemea upande wowote hayo yangewezekana kwa Asilimia 100Mkuu pia upinzani dhaifu ndo tatizo lingine!! Yaan juzi ijumaa baada ya yule binti kupigwa risasi niliamini wangeliamsha ila hakuna lolote!! Kiongozi wa upinzani ni muoga kuliko mbwa koko.
Na hakuna ksa kubwa walilofanya kama kuahirisha ulr UKUTA, pale ndo ilikua mlango wao wa kutokea. Sasa kwa ubabe unaotumiwa na ccm unategemea suluhu kwa kukaa mezani ili iweje?! Nchi imetaharuki na watu hawana aman kama hawa fisiem wanavyojinasibu!!!
Kwanini unataka kupigana na Polisi?
Polisi wanapiga kura?
Tatizo lako lipo ktk box la kura
Wapo wanaoipigia kura CCM na ni wengi.
Huwezi kushinda uchaguzi kwa kupigana na Polisi.
MiTanzania kwa ujumla wetu Ndivyo Tulivyo. Wachache wanalalamika nyuma ya keyboard, akijitokeza wa kusema basi tunamuita msaliti. Ukisha itwa msaliti suburi yatakayo kufika, sisi tutaendelea kulalamika nyuma ya key bodi zetu. Tunasubiri "Masiya"aje au CCM iache uchama DOLA ambalo halitatokea labda wawe wanajenga mnara wa "Babeli" wavurugane wao kwa wao.Je, uoga tulionao nao ni sehemu ya ndivyo tulivyo ama?
Ukiangalia hii video utagundua police walikuwa wamesimama ,hapa bongo Hao wangechezea mitama, virungu na risasi juu za moto . Kiufupi Ccm inalindwa na Jeshi la Tanzania kwa ujumla labda Jeshi liipindue Ccm lakini sio wananchi labda itokee miujiza lakini hakuna chama cha kukitoa Ccm madarakani.