CCM itaondolewa madarakani na vijana

CCM itaondolewa madarakani na vijana

Kwa taarifa yako na usichokijua tu ni kwamba 95% ya hawa 'Vijana' unaowasifia hapa kuitoa CCM wala hawakujiandisha Kupiga Kura kwa 2020 hii.
Leo hii hata wanawake na Waze wataikataa hii CCM!
 
Vijana wengi walishaacha kupiga kura walishaona hakuna maana lakini mwaka huu Tundu Lissu ameleta matumaini mapya kwa vijana.
Kwahiyo hao vijana mwaka huu watafanya kuwepo wingi wa kura hadi ccm washindwe kuiba kura kama ambavyo wamekuwa wakifanya kwenye chaguzi zote?
 
Kila nikiangalia mapokezi makubwa ya wanasiasa wa upinzani na mikutano yao,asilimia kubwa ya wanaojitokeza huku wakiwa wamehamasilka ni vijana hali inayooshiria wataikataa vibaya CCM kwenye Sandusky la kura kuanzia kwenye udiwani, ubunge na hata kwenye uraisi.

CCM mko hatarini na kikombe niki hamuwezi kukiepuka labda tu kukiarisha kwa muda ingawa nako ni vigumu kukutekeleza.

https://www.jamiiforums.com/data/at...Mapokezi_ya_Mhe._Lissu_Mbeya.__352_X_640_.mp4
Watu wa Mbeya wanafurahisha sana na wameonesha njia Peoplessssssssssssssssssssssss
 
Vijana hawa wana vichinjio ama ni ushabiki tu? Hili swali liwe linaulizwa kwenye mikutano.
 
True,vijana wengi wamezaliwa nyerere akiwa ashatangulia hivo akimjui zaidi ya kumsoma kwenye history, sasa kutumia kodi zao eti kumuenzi kwa kutimiza ndoto zake ambazo nyingi ni outdated kwa kizazi cha sasa mfano kuhamia Dodoma kwa kweli ni matumizi mabaya ya kodi zao kufanya kisichotija kwao eti kumuenzi mtu asiyeimpact kwa kizazi cha sasa. Thus vijana wapo upande wa mabadiliko.
 
Kila nikiangalia mapokezi makubwa ya wanasiasa wa upinzani na mikutano yao,asilimia kubwa ya wanaojitokeza huku wakiwa wamehamasilka ni vijana hali inayooshiria wataikataa vibaya CCM kwenye Sandusky la kura kuanzia kwenye udiwani, ubunge na hata kwenye uraisi.

CCM mko hatarini na kikombe niki hamuwezi kukiepuka labda tu kukiarisha kwa muda ingawa nako ni vigumu kukutekeleza.

https://www.jamiiforums.com/data/at...Mapokezi_ya_Mhe._Lissu_Mbeya.__352_X_640_.mp4
✌✌✌
 
Vijana wengi walishaacha kupiga kura walishaona hakuna maana lakini mwaka huu Tundu Lissu ameleta matumaini mapya kwa vijana.
Dah! unanifanya nikumbuke maneno ya ushindi yaliyokuwa yakitamkwa kipindi kile cha Lowassa na ule muunganiko wa vyama 2015 , ila mwisho wa siku tukawa tunasikia lawama zilezile tu.
 
Kila nikiangalia mapokezi makubwa ya wanasiasa wa upinzani na mikutano yao,asilimia kubwa ya wanaojitokeza huku wakiwa wamehamasilka ni vijana hali inayooshiria wataikataa vibaya CCM kwenye Sandusky la kura kuanzia kwenye udiwani, ubunge na hata kwenye uraisi.

CCM mko hatarini na kikombe niki hamuwezi kukiepuka labda tu kukiarisha kwa muda ingawa nako ni vigumu kukutekeleza.

https://www.jamiiforums.com/data/at...Mapokezi_ya_Mhe._Lissu_Mbeya.__352_X_640_.mp4
Wakati ndio huu safari hii idadi ni kubwa na sina wasiwasi vijana wengi wamejiandikisha.
 
Kila nikiangalia mapokezi makubwa ya wanasiasa wa upinzani na mikutano yao,asilimia kubwa ya wanaojitokeza huku wakiwa wamehamasilka ni vijana hali inayooshiria wataikataa vibaya CCM kwenye Sandusky la kura kuanzia kwenye udiwani, ubunge na hata kwenye uraisi.

CCM mko hatarini na kikombe niki hamuwezi kukiepuka labda tu kukiarisha kwa muda ingawa nako ni vigumu kukutekeleza.

https://www.jamiiforums.com/data/at...Mapokezi_ya_Mhe._Lissu_Mbeya.__352_X_640_.mp4
Wakijitambua na kuacha UCHAWA uliopitiiza wa akina Mwashambwa, Tilahtilah na Choicevariable watakuwa zaidi GZ wa Kenya. Nchi viongozi wana miaka 70+ mafisini hawataki kwenda kulea wajukuu Vijana wenye nguvu waongoze haivumiliki kabisa.
 
Back
Top Bottom