CCM itaondolewa madarakani na vijana

CCM itaondolewa madarakani na vijana

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,210
Reaction score
162,787
Kila nikiangalia mapokezi makubwa ya wanasiasa wa upinzani na mikutano yao,asilimia kubwa ya wanaojitokeza huku wakiwa wamehamasilka ni vijana hali inayooshiria wataikataa vibaya CCM kwenye Sandusky la kura kuanzia kwenye udiwani, ubunge na hata kwenye uraisi.

CCM mko hatarini na kikombe niki hamuwezi kukiepuka labda tu kukiarisha kwa muda ingawa nako ni vigumu kukutekeleza.

https://www.jamiiforums.com/data/at...Mapokezi_ya_Mhe._Lissu_Mbeya.__352_X_640_.mp4
 
Tatizo lako unaangalia ya upinzani au unajifariji
Ccm pia tunao vijana tena ni wengi mno
 
Kila nikiangalia mapokezi makubwa ya wanasiasa wa upinzani na mikutano yao,asilimia kubwa ya wanaojitokeza huku wakiwa wamehamasilka ni vijana hali inayooshiria wataikataa vibaya CCM kwenye Sandusky la kura kuanzia kwenye udiwani, ubunge na hata kwenye uraisi.

CCM mko hatarini na kikombe niki hamuwezi kukiepuka labda tu kukiarisha kwa muda ingawa nako ni vigumu kukutekeleza.

https://www.jamiiforums.com/data/at...Mapokezi_ya_Mhe._Lissu_Mbeya.__352_X_640_.mp4
Wapiga Kura Nchi Hii Wengi ni Akina Mama Vijana wengi ni Wacheza Disco sasa Sijui unawazungumzia vijana gani
 
Hawa wamekuja kutoka nyumbani kwa miguu, bodabdoa au mabasi bila kupewa 10,000 wala hawahitaji fiesta kumuona Diamond au Konde Boy.
 
Wapiga Kura Nchi Hii Wengi ni Akina Mama Vijana wengi ni Wacheza Disco sasa Sijui unawazungumzia vijana gani
Wakina mama wameipokea Bima ya Afya kwa wote kwa mikono miwili kumbe na CCM wakaenda ku copy and paste
 
Kwani hiyo miaka yote tunaoambiwa ccm wanaiba kura,ina maana walikuwa wanaiba kura zilizopigwa na wazee? miaka yote tunaambizana hapa kuwa kama uchaguz utakuwa wa huru na haki basi ccm ingekuwa imeshang'oka siku nyingi sasa hao vijana ndio watafanya nini ikiwa hakuna tume huru?
 
Kila nikiangalia mapokezi makubwa ya wanasiasa wa upinzani na mikutano yao,asilimia kubwa ya wanaojitokeza huku wakiwa wamehamasilka ni vijana hali inayooshiria wataikataa vibaya CCM kwenye Sandusky la kura kuanzia kwenye udiwani, ubunge na hata kwenye uraisi.

CCM mko hatarini na kikombe niki hamuwezi kukiepuka labda tu kukiarisha kwa muda ingawa nako ni vigumu kukutekeleza.

https://www.jamiiforums.com/data/at...Mapokezi_ya_Mhe._Lissu_Mbeya.__352_X_640_.mp4

Kwa taarifa yako na usichokijua tu ni kwamba 95% ya hawa 'Vijana' unaowasifia hapa kuitoa CCM wala hawakujiandisha Kupiga Kura kwa 2020 hii.
 
Kwani hiyo miaka yote tunaoambiwa ccm wanaiba kura,ina maana walikuwa wanaiba kura zilizopigwa na wazee? miaka yote tunaambizana hapa kuwa kama uchaguz utakuwa wa huru na haki basi ccm ingekuwa imeshang'oka siku nyingi sasa hao vijana ndio watafanya nini ikiwa hakuna tume huru?
Vijana wengi walishaacha kupiga kura walishaona hakuna maana lakini mwaka huu Tundu Lissu ameleta matumaini mapya kwa vijana.
 
Back
Top Bottom