Mkuu povu lote hili la kazi gani ikiwa nguo zako zimetakata?!Mlivyo mambumbumbu hamjui hata tofauti ya sisiemu na Mugabe, ufipa wajinga sana, tena wapumbavu!
Ni Mbowe ndio yatamkuta yaliyomkuta Mugabe. Afadhali aanze kuandika barua ya kujiuzuru mapema. Asome alama za nyakati.Huu ni utabiri wangu na mtakuja kuukumbuka. Ni kweli ulio wazi kwamba Watanzania wengi wameichoka CCM, lakiji wanashindwa kuiondoa madarakani kwa sababu Mwenyekiti wao ambaye ndiye Rais was nchi ndiye mwenye madaraka ha kuunda na kuisimamia Tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC).
NEC ndiyo inaamua kumtangaza mshindi yoyote inavyotaka. Matokeo ya urais ndio kabisa hayatakiwi kuhojiwa.
Hivi kama chama kinapendwa na wananchi, mbona kimejitwisha madaraka makubwa kiasi cha kuvuruga demokrasia?
CCM wajue hata Mugabe hakupanga kujiuzulu kipindi hiki, hakujua kama jeshi litamgeuka, alidhani mambo yatakuwa shwari hadi afie ikulu.
Nyerere hakuwa mjinga kuruhusu vyama vingi hata kama wengi hawakuvitaka.
CCM hawataki mabadiliko ya Katika maana wanajua iliyopo inawalinda. Wanadhani wataishi milele madarakani, lakini ipo Sikh wataondoka madarakani kwa aibu kama Mugabe.
Mkuu umemsahau Nyalandu, Mokongolo Mahanga na MgejaCcm haitoweza kutoka madarakani kwa siasa za aina ya kina patrobas katambi na Masha
Hahaahaahaaa(ingekuwa hapa Lema na Lissu wangeuana kila moja akidai yeye ndiyo mshindi).
Mkuu Hawa watu wa ufipa ndio maana wanampa mzigo mzito mbowe kichwani mwake, anashindwa kufanya maamuzi yenye tija kwa kumjaza ujinga.Mlivyo mambumbumbu hamjui hata tofauti ya sisiemu na Mugabe, ufipa wajinga sana, tena wapumbavu!
Mkuu hilo ufipa hawajui wao wanashangilia Mugabe kutoka madarakani wakati waliofanya the whole process ni wanachama wa ZANU pf together with ZDF.Mugabe ni mtu,ccm.ni chama.
Nilidhan mtafurahia anguko la chama tawala zimbabwe kumbe mnafurahia anguko la mugabe huku chama tawala kikiendelea kupeta.
Huu ni utabiri wangu na mtakuja kuukumbuka. Ni kweli ulio wazi kwamba Watanzania wengi wameichoka CCM, lakiji wanashindwa kuiondoa madarakani kwa sababu Mwenyekiti wao ambaye ndiye Rais was nchi ndiye mwenye madaraka ha kuunda na kuisimamia Tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC).