CCM itameguka mapande makubwa kabla ya uchaguzi

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,633
Reaction score
7,021
Kwa mara ya kwanza natabiri kumegeka kwa chama tawala muda mfupi kabla ya uchaguzi.

Sababu kubwa ni chama kuacha misingi ya kuanzishwa kwake na kuanza kutumia mbinu zinazotumiwa na vyama vilivyoshika dola kutokana na mapambano ya kivita.
Tayari kila ishara mbaya inajionesha na mazungumzo ya watu wengi wa kawaida yana kila dalili ya kuonesha kuwa hawajui wafanye nini.Mimi si mtafiti kama REDET kwa hiyo unaruhusiwa kunipuuza tu hadi pale majibu ya kweli yatakapotolewa na watafiti waliobobea.

Natabiri baadhi ya wana ccm kukiacha chama.Mf. mh.January,Mwigulu,Lazaro,Nape,na wengine wengi.

Ningependa kusema zaidi lakini tumeambiwa tuwe waangalifu na tunayoandika mitandaoni na hivyo naomba nijizuie nisije nikawachefua wenye ka muhogo kao.
Mungu ibariki Tanzania
 
ikimeguka si ndo itakuwa afadhali kwa vyama vingine kushika dola na kuleta mabadiliko! hvyo kuandika Uzi huu ni kama kuwakumbusha ili wamalize hzo tofauti zao na wasimeguke.
- ushauri: lengo ni ccm kutoka madarakani, hvyo usiwe unawakumbusha madhaifu yao kwa maana wanaweza jirekebisha na tukashndwa kuwaondoa madarakani, hvyo ungekaa tu KIMYA
 
Wewe siyo wa kwanza kutabiri hivo na ni kweli wako wanaccm wengi ambao sirini wanakiri kuchoshwa na jinsi nchi inavyoongozwa. Tatizo ni kwamba wengi wa walio wengi kwenye chombo chanuwakilishi ni waogana hawana ujasiri wa ku -stand alone na kutetea hoja makini; wanangojea kusikia; 'wanafiki' waseme ndiyo.... Ndiyooooo! Watu kama hawa hawawezi kushiriki kwa tija katika kuimega ccm.
 
Kaondoka lowasa, sumaye,kingunge na wengineo wengi lakini chama bado kipo, kwa hiyo mm nadhani ww kwenye siasa hakuna unachokijua, ww endelea kukaa kijiwen tu
 
Sijui kama kuna mwanaccm yeyote atakayeendelea kubaki ndani ya CCM akingojea siku ya kwenda kutafuta wachumba ifike ili akatafute wachumba ikulu kupitia chama hicho,pindi mzee wakazi atakapoondoka na kuwaachia nafasi watafuta wachumba waendelee na mishe zao.
 
Kwa mara ya kwanza natabiri kumegeka kwa chama tawala muda mfupi kabla ya uchaguzi.
Sababu kubwa ni chama kuacha misingi ya kuanzishwa kwake na kuanza kutumia mbinu zinazotumiwa na vyama vilivyoshika dola kutokana na mapambano ya kivita.
Tayari kila ishara mbaya inajionesha na mazungumzo ya watu wengi wa kawaida yana kila dalili ya kuonesha kuwa hawajui wafanye nini.Mimi si mtafiti kama REDET kwa hiyo unaruhusiwa kunipuuza tu hadi pale majibu ya kweli yatakapotolewa na watafiti waliobobea.
Natabiri baadhi ya wana ccm kukiacha chama.Mf. mh.January,Mwigulu,Lazaro,Nape,na wengine wengi.
Ningependa kusema zaidi lakini tumeambiwa tuwe waangalifu na tunayoandika mitandaoni na hivyo naomba nijizuie nisije nikawachefua wenye ka muhogo kao.
Mungu ibariki Tanzania
Kama hakikumeguka alivyoondoka Lowassa ndio basi tena mkuu hiyo ndoto yako imechacha amka tu!!
 
Kwa mara ya kwanza natabiri kumegeka kwa chama tawala muda mfupi kabla ya uchaguzi.
Sababu kubwa ni chama kuacha misingi ya kuanzishwa kwake na kuanza kutumia mbinu zinazotumiwa na vyama vilivyoshika dola kutokana na mapambano ya kivita.
Tayari kila ishara mbaya inajionesha na mazungumzo ya watu wengi wa kawaida yana kila dalili ya kuonesha kuwa hawajui wafanye nini.Mimi si mtafiti kama REDET kwa hiyo unaruhusiwa kunipuuza tu hadi pale majibu ya kweli yatakapotolewa na watafiti waliobobea.
Natabiri baadhi ya wana ccm kukiacha chama.Mf. mh.January,Mwigulu,Lazaro,Nape,na wengine wengi.
Ningependa kusema zaidi lakini tumeambiwa tuwe waangalifu na tunayoandika mitandaoni na hivyo naomba nijizuie nisije nikawachefua wenye ka muhogo kao.
Mungu ibariki Tanzania
Hata Kingunge,Lowasa na Sumaye walitabiri mwaka 2015 kuwa ccm inakufa lkn sasa Wao ndo wamekufa kisiasa
 
Kwa mara ya kwanza natabiri kumegeka kwa chama tawala muda mfupi kabla ya uchaguzi.
Sababu kubwa ni chama kuacha misingi ya kuanzishwa kwake na kuanza kutumia mbinu zinazotumiwa na vyama vilivyoshika dola kutokana na mapambano ya kivita.
Tayari kila ishara mbaya inajionesha na mazungumzo ya watu wengi wa kawaida yana kila dalili ya kuonesha kuwa hawajui wafanye nini.Mimi si mtafiti kama REDET kwa hiyo unaruhusiwa kunipuuza tu hadi pale majibu ya kweli yatakapotolewa na watafiti waliobobea.
Natabiri baadhi ya wana ccm kukiacha chama.Mf. mh.January,Mwigulu,Lazaro,Nape,na wengine wengi.
Ningependa kusema zaidi lakini tumeambiwa tuwe waangalifu na tunayoandika mitandaoni na hivyo naomba nijizuie nisije nikawachefua wenye ka muhogo kao.
Mungu ibariki Tanzania

Tuliambiwa itameguka akiondoka Lowassa na mamluki wake lakini ndio imezidi kuwa imara, leo mnakuja na ramli zingine kha!
 
Kweli mmeishiwa na yakusema ccm imenguke ndoto zamchana ccm baba laooooooooooo
 
Kwa mara ya kwanza natabiri kumegeka kwa chama tawala muda mfupi kabla ya uchaguzi.
Sababu kubwa ni chama kuacha misingi ya kuanzishwa kwake na kuanza kutumia mbinu zinazotumiwa na vyama vilivyoshika dola kutokana na mapambano ya kivita.
Tayari kila ishara mbaya inajionesha na mazungumzo ya watu wengi wa kawaida yana kila dalili ya kuonesha kuwa hawajui wafanye nini.Mimi si mtafiti kama REDET kwa hiyo unaruhusiwa kunipuuza tu hadi pale majibu ya kweli yatakapotolewa na watafiti waliobobea.
Natabiri baadhi ya wana ccm kukiacha chama.Mf. mh.January,Mwigulu,Lazaro,Nape,na wengine wengi.
Ningependa kusema zaidi lakini tumeambiwa tuwe waangalifu na tunayoandika mitandaoni na hivyo naomba nijizuie nisije nikawachefua wenye ka muhogo kao.
Mungu ibariki Tanzania
Ccm haihitaji Kumeguka Zaidi Ya kufa Ibaki historia tu kama KANU(KENYA), MCP(MALAWI) etc
 
hao mnaowataja hata leo wakiondoka hawana mvuto kwa sasa mbele ya JPM. unless wameamua kufilisika kwakila kitu na wapotee katika rmani ya tanzania.
 
Kweli mmeishiwa na yakusema ccm imenguke ndoto zamchana ccm baba laooooooooooo
Kama kweli ni baba lao waacheni polisi wafanye kazi zao halafu wenzenu wa vyama vingine wapige siasa kama zenu. Kiukweli namna nchi inavyokwenda inakatisha tamaa sana
 
Back
Top Bottom