Sir John Roberts JF-Expert Member Mar 1, 2017 9,639 15,970 Mar 4, 2018 Thread starter #21 jingalao said: mnalialia nini wakati madiwani wenu wamechoka ulaghai na usanii wa viongozi wa chama chenu? CCM haiwezi kuwalea kwa miaka 20 hata mtoto akizidisha miaka 18 anatambulika kama ni mtu mzima. Click to expand... na wewe ni walewale.nimeandika lakini hujanielewa.
jingalao said: mnalialia nini wakati madiwani wenu wamechoka ulaghai na usanii wa viongozi wa chama chenu? CCM haiwezi kuwalea kwa miaka 20 hata mtoto akizidisha miaka 18 anatambulika kama ni mtu mzima. Click to expand... na wewe ni walewale.nimeandika lakini hujanielewa.
Sir John Roberts JF-Expert Member Mar 1, 2017 9,639 15,970 Mar 4, 2018 Thread starter #22 Lumwagoz said: Binafsi najiuliza maswali mengi bila majibu. Hivi polepole anafahamu madhara yake? Click to expand... inawezekana wanatambua lakini kwa kiburi kwamba wao ndio wenye dola majeshi n.k wanaweza kudhibiti. lakini amini nakwambia upinzani wa ndani ni mbaya zaidi ya upinzani wa nje.
Lumwagoz said: Binafsi najiuliza maswali mengi bila majibu. Hivi polepole anafahamu madhara yake? Click to expand... inawezekana wanatambua lakini kwa kiburi kwamba wao ndio wenye dola majeshi n.k wanaweza kudhibiti. lakini amini nakwambia upinzani wa ndani ni mbaya zaidi ya upinzani wa nje.
S Salary Slip JF-Expert Member Apr 3, 2012 47,027 144,381 Mar 4, 2018 #23 MKWEPA KODI said: Namkumbuka mzee mwandosya alisema huyu hajawahi kuwa hata balozi wa nyumba kumikumi tu ataweza kuwa Mwenyekiti wa chama Click to expand... We voted to vomit!
MKWEPA KODI said: Namkumbuka mzee mwandosya alisema huyu hajawahi kuwa hata balozi wa nyumba kumikumi tu ataweza kuwa Mwenyekiti wa chama Click to expand... We voted to vomit!
Bulamba JF-Expert Member Sep 17, 2011 13,196 12,379 Mar 4, 2018 #24 Je diwani kurudi CCM kuunga mkono juhudi kunamsaidiaje MWANANCHI?