CCM Itambue Upinzani ni dhana pana ambayo huiwezi kuifuta kwa kuhamisha madiwani wa upinzani.

mnalialia nini wakati madiwani wenu wamechoka ulaghai na usanii wa viongozi wa chama chenu?

CCM haiwezi kuwalea kwa miaka 20 hata mtoto akizidisha miaka 18 anatambulika kama ni mtu mzima.
na wewe ni walewale.nimeandika lakini hujanielewa.
 
Binafsi najiuliza maswali mengi bila majibu. Hivi polepole anafahamu madhara yake?
inawezekana wanatambua lakini kwa kiburi kwamba wao ndio wenye dola majeshi n.k wanaweza kudhibiti. lakini amini nakwambia upinzani wa ndani ni mbaya zaidi ya upinzani wa nje.
 
Je diwani kurudi CCM kuunga mkono juhudi kunamsaidiaje MWANANCHI?
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom