Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 9,562
- 15,906
- Thread starter
- #21
na wewe ni walewale.nimeandika lakini hujanielewa.mnalialia nini wakati madiwani wenu wamechoka ulaghai na usanii wa viongozi wa chama chenu?
CCM haiwezi kuwalea kwa miaka 20 hata mtoto akizidisha miaka 18 anatambulika kama ni mtu mzima.