CCM Itaendelea kutawala TZ karne nyingine ijayo

utaifakwanza

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
14,193
2,812
Ni wazi kabisa jinsi chama hiki kinavyokubalika na jinsi kinavyotatua kero za watz huku upinzani ukizidi kudorora...Nchi hii itaongozwa na Serikali inayotokana na CCM kwa zaidi ya karne kadhaa zijazo.Mungu ibariki Tanzania.
 
Siamini kama upinzani umedorola,Mimi nafikiri wanajipanga halafu watarudi kwa kasi.

Kuna watu kama Zitto anashauri vitu vingi kwa JPM na rais anavitendea kazi mfano suala la IPTL.
Mnyika nafikiri anausoma mchezo halafu atarudi kwa kishindo.
Nchi yetu itayumba bila kuwepo upinzani,tusipende kuona upinzani unakufa tutakuwa hatulitendei haki hili taifa.

Kuna faida kubwa ya kuwepo kwa upinzani.
 
Ni wazi kabisa jinsi chama hiki kinavyokubalika na jinsi kinavyotatua kero za watz huku upinzani ukizidi kudorora...Nchi hii itaongozwa na Serikali inayotokana na CCM kwa zaidi ya karne kadhaa zijazo.Mungu ibariki Tanzania.
pia imeleta maendeleo makubwa sana, ila ndugu inaonesha una id zaidi ya 20 humu. Hata nafsi inakusuta
 
Ni wazi kabisa jinsi chama hiki kinavyokubalika na jinsi kinavyotatua kero za watz huku upinzani ukizidi kudorora...Nchi hii itaongozwa na Serikali inayotokana na CCM kwa zaidi ya karne kadhaa zijazo.Mungu ibariki Tanzania.

Kero gani za wananchi ambazo CCM imetatua?
 
As God Lives it will Never, Never, Never happen, infact the end of CCM could not be closer, they think God is their Grandpa Just like these Idiots thought, where are they now!

1) Mobutu
2)Jean Bedell Bokassa
3)Qadaffi Muamar
4)Saddam Husein
5) Idd Amin
6) Nicolae Ceauşescu
7) Samwel Doe
and so many others.

Bokassa
Nicholae
Doe
Qaddafi

CCM Msijidanganye, Mungu sio Shemeje yenu, Jitakaseni acheni uovu, saa Msiyoijua Upepo unaweza Ukawabadilikia Ghafla, Na Msidhani Ni Lazima iwe wapinzani Ndio watawaondoa hivyo Kujua Mtaiba Kura. Ndivyo alivyodhani Blaise Compaoré Lakini Mwisho wake Ukaletwa Na Vijana wa Mitaani, raia wa Kawaida ambao mwishowe waliungwa mkono na Jeshi.

HAYO MATUSI KWA MUNGU KUWA CCM KUTAWALA KARNE, JUTIENI MAANA PENGINE MIAKA 10 IJAYO INAWEZEKANA KABISA SIO KUPOTEZA MADARAKA KWANI CCM KUFUTIKA MILELE.
Mungu Ni Mvumilivu sana Kwa wadhalimu, lakini Akiruhusu Kipigo, Habakizi hata Mfupa!
 
ccm haipendwi bali ubabe na kubebwa na vyombo vya dola mfano tumeona jinsi inavyolazimisha kushinda umeya wa dar ilihali wananchi waliikataa..
 
Tanzania bila CCM hakuna figisufigisu.
tusisahau kwamba kutokana na mfumo wa kiutawala wa CCM,tunajenga kizazi cha kishetani..
hili limedhihirika katika familia nyingi,na hata watoto tunaopishana nao barabarani ni nafuu upishane na mbwa angalau anaweza kukupisha mtu mzima upite.
 
Ni wazi kabisa jinsi chama hiki kinavyokubalika na jinsi kinavyotatua kero za watz huku upinzani ukizidi kudorora...Nchi hii itaongozwa na Serikali inayotokana na CCM kwa zaidi ya karne kadhaa zijazo.Mungu ibariki Tanzania.
hakika!!
na ni miongoni mwa vyama bora kabisa Afrika, wakubali au wakatae.........

bila CCM imara hakuna upinzani, na mara zote CCM imekua ikiwasifia wapinzani kwa kuwafanya wasilale au kubweteka madarakani!!
 
Ni wazi kabisa jinsi chama hiki kinavyokubalika na jinsi kinavyotatua kero za watz huku upinzani ukizidi kudorora...Nchi hii itaongozwa na Serikali inayotokana na CCM kwa zaidi ya karne kadhaa zijazo.Mungu ibariki Tanzania.
Umeamua uiibue hii ID siyo au mpango wa JK kuomba mkumbukwe ndiyo imekusaidia kufufuka.
 
Ni wazi kabisa jinsi chama hiki kinavyokubalika na jinsi kinavyotatua kero za watz huku upinzani ukizidi kudorora...Nchi hii itaongozwa na Serikali inayotokana na CCM kwa zaidi ya karne kadhaa zijazo.Mungu ibariki Tanzania.
Wewe ni mburula wa kutupwa na chumia tumbo wa siku ya jumatatu kutoka lumumba
 
Thubutuuuu!! Hichi ndicho kizazi cha mwisho MWAKA 2020 kizaz hki kitakuwa hakpo! Na mabba wa muda huo watakuwa ni wale vijn 2liokuwa 2naimba mabadiliko huku vijana wakiwa ni watto waliokuwa wanahamu na Lowassa 2015!! Wakitaka ya Jecha vijn watakuwa na mwamko+wazee=kureact kwanjia yoyote ile!
 
Back
Top Bottom